Posts

Showing posts from November, 2017
Timothy Marko . KITUO cha Sheria na Haki Za  Binadamu nchini (LHRC) Kimepinga hatua ya vyombo vya dola kutumia nguvu katika uchaguzi wa madiwani ulifanyikahivi karibuni kwa baadhi ya mikoa nakukifananisha kitendo hicho kuwa kina minya demokrasia nchini . Akizungumza na waaandishi wa Habari Kaimu Mkurugenzi wa kituo hicho jijini Dar es salaam Anna henga amesema kuwa hivi karibuni kumekuwa na matukiombalimbali katika kata sita ngabobo makiba ,leguruki Ambureki Mororoni pamoja namusa ambapo mawakala wa vyama waliweza kutolewa nje baada ya masaa manne nakiksha kuamuriwa kuingia ndani ya vituo . ''Mazingira haya yanaashiria vya kuufanya uchaguzi usio huru

UMOJA WAMATAIFA WAITAKA TANZANIA KUBORESHA VYANZO VYANISHATI YA UMEME.

Image
Timothy Marko SHIRIKA la umoja wa mataifa nchini Tanzania imetaka nchi ya Tanzania kuweza kutafakari kwa upya juu ya kuboresha sera zake ilikuweza kufikia uchumi wa kati na nchi ya viwanda ifikapo 2020. Wito huo umetolewa mapemahii leo jijini Dar es salaam katika ofisi za umoja huo zilizopo jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa ripoti uboreshaji wa nishati katika nchi zinzoendelea ,ambapo ripoti hiyo imetaka nchi ya Tanzania kuwezekeza zaidi bajeti yake katika sekta nishati ilikuweza kufikia uchumi wakati unaotegemea viwanda . ''ilikuweza kufikia uchumi wakati unaotumia viwanda nilazima nchi zinazo endelea kuwekeza zaidi inakaririwa ili nchi zinazo endelea kuweza kufikia malengo yake inatakiwa kuwekeza dola 12bilioni hadi dola bilioni 40 kwa mwaka ''ilisema Ripoti hiyo. RIPOTI hiyo ilizitaka nchi zinazo endelea kama Tanzania kuweza kuwekeza vyanzo zaidi vya uzalishaji umeme huku ikitoa pongezi kwa nchi ya tanzania kuanza kuzalishagesi badala ya maji naku...

TWAWEZA :TANZANIA RUSHWA BADO PASUA KICHWA.

Image
MKURUGENZI WA TAASISI YA TWAWEZA IDAN LYAKUZE Timothy Marko. LICHA ya serikali ya awamu ya Tano nchini Tanzania kujikita katika kupamabana na rushwa bado suala hilo limekuwa pasua kichwa baada ya Taasisi za haki ikiwemo mahakama na polisi kutajwa kuwa ndio vinara waruhwa . KATIKA utafiti uliofanywa nataasisi isiyo ya kiserikali ya twaweza ilionesha kuwakatika kipindi cha 2014 rushwa katika taasisi za serikali ikiwemo polisi imetajwa kuwani kinara kwa asilimia 60 hadikufikia asilimia 34 kwa mwaka huu . Utafiti huo ulibainisha kuwa wananchi bado wamekuwa wakiombwa rushwa pindi wanapokutana na taasisi hizo mbili ambapo katika kipindi cha 2017 wananchi waliweza kuombwa rushwa katika sekta za ardhi 18%afya asilimia 11 huku sekta ya maji asilimia 6. ''rushwa  wakati wakampeni umakuwa hadikufikia asilimia 93 huku swala lawafanyakazihewa asilimia 65huku posho za vikao imedaiwa kuwa ni rushwa kwamujibu waripoti hiyo kutoka kwa wananchi ''ilieleza ripoti hiyo KATIKA ha...

JESHI LAPOLISI KUJIKITA KATIKA KUZUIA UHALIFU WA KUTUMIA SILAHA.

Image
INSPEKTA WA POLISI NCHINI TANZANIA IGP SIMONI SIRRO . Timothy Marko . JESHI la polisi nchini limempokea msaada wa magari yenye thamani yashilingi milioni 166.5 kutoka shilika la maendeleo laumoja wa mataifa UNDP ilikuweza kupambana navitendo vyaugaidi . Akizungumza na waandishi wa habari mara baada yakupokea magari hayo katika makao makuu yajeshi hilo jijini Dar es salaam inspekta wa jeshi hilo Simoni Sirro amesema kuwa jeshi hilo limeupokea msaada huo wa magari hayo lakini itautumia katika operesheni mbalimbali zakuzuia uhalifu nchini kwani sasasa hivi suala laugaidi kwa TANZANIA sio tishio kama ilivyokuwa awali . ''LEO tumepokea magari kutoka Undp kwa ajili yaugaidi lakini sisi tutatumia kwa kuendesha operesheni kwa wanyang'anyi wanaotumia silaha kwani hivi sasa kila mwaka tunapata bajeti yamagari ya opereshenimbalimbali za jeshi lapolisi ''ALISEMA inspekta SIMONI SIRRO .

SERIKALI YAWATAKA WATOAHUDUMA KUTEKELEZA SHERIA ZA MAWASIILIANO

Image
Naibu waziri wa wizara ya sanyansi na Mawasiliano na Teknolojia Mhandisi Atashasta Nditiye Timothy Marko. Naibu waziri wa wizara ya sanyansi na Mawasiliano na Teknolojia Mhandisi Atashasta Nditiye amewataka watoa huduma za televisheni nchini kuhakikisha wanatimiza mashariti yakutoa huduma kwa televisheni ambazo ni za nyumbani (local chanel )kuhakikisha wanazitoa chanel hizo pasipo malipo kama ilivyo elekezwa na sheria ya huduma za vyombo vya habari nchini . Akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wadau mbalimbali wasekta ya mwasiliano nchini jjijini Dar es salaam mapema hii leo Mhandisi Nditiye amesema kuwa nivyema watoaji wahuduma za televisheni kuweza kupitia sheria za utoaji wahuduma kwanjia yatelevisheni ambapo ameseesitiza nilazima chaneli tano za nyumbani za kitaifa nilazima zitolewe bure pasipokuwa na malipo kama ilivyo elekezwa . ''Wananachi wengi wmekuwa wakilalamikia mikataba ya watoaji huduma za mawasiliano nilazima baraza lawalaji wapate huduma kwa wak...

JK AWAFUNDA WASAANII WA KITANZANIA

Image
Timothy Marko. WASAANI wa filamu nchini wametakiwa kutunga filamu zinazoendana na Maadili ya kitanzania ilkuweza kukuza soko hilo nakuitangaza nchi ya Tanzania kimataifa . wito huo umetolewa na Rais mstaafu wa awamu ya nne wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania DK.Jakaya kikwete wakati akizindua kituo cha televisheni cha janson tv kinacho jiuhusisha na masuala filamu za kitanzania jijini Dar es salaam,ambapo amesema niwakati kwa wasanii hao kukuza lugha ya kiswahili na kutunga filamu zilizo na maudhui ya kitanzania . ''wakati huu nimuda muafaka wakutangaza kazi zenu kwa kutumia lugha ya kiswahili msiogope kushindwa kwani wakati huu niwakati wamashindano hivyo msitegemee kulindwa kwa kazi zenu ''Alisema DK.JAKAYAKIKWETE. DK.KIKWETE Alisema nivyema wasanii hao wafilamu kuzingatia ubora katika kazi zao kabla hwajawasilisha kwa jamii husika ilikuweza kukuza ushindani . Alisema kuwa soko la filamu nikubwa na lauhakikika hivyo aliwa taka kutengezeneza filamu ambazo ...

Vijana watakiwa kutembelea makumbusho

Image
Z4 MEDIA 17 hrs ago Breaking News , Habari Na stahmil mohamed. Vijana,wanafunzi wa shule za msingi na sekondari pamoja na vyuo wametakiwa kujijengea tabia ya kutembelea Makumbusho ili kujifunza na kuziendeleza fursa mbalimbali ambazo zilikuwa zinafanywa hapo awali ili kujipatia kipato na kukuza uchumi wa nchi.   Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa Makumbusho Bw.Audax mabula alipokuwa akizungumza katika maonyesho ya picha ya "Karibu Tanzania"yaliyofanyika  Makumbusho ambapo amewataka vijana kutembelea Makumbusho ambapo wataweza kujifunza vitu mbalimbali kupitia picha ambazo zilipigwa miaka 50 iliyoisha zikionyesha shughuli mbalimbali walizokuwa wakizifanya ambapo hivi Sasa hazitiliwi mkazo hali yakuwa zinafaida kubwa kwa Taifa kiujumla. Hata hivyo Bw.Mabula ameongeza kwa kusema kuna umuhimu mkubwa kwa vijana wa nchi hii kufatilia mambo yaliyofanywa hapo awali kama kufinyanga,kuchonga na kutengeneza dhana mbali mbali kwa ajili ya kilim...

Mafunzo kuhusu namna ya kumsaidia mtoto kupumua wakati wa kuzaliwa

Image
katika ukumbi wa Nyakahoja Jijini Mwanza ambapo Wakunga na Madaktari wa kutoka Zahanati, Vituo vya Afya pamoja na Hospitali za binafsi Kanda ya Ziwa, wanakutana kwa ajili ya kupata mafunzo ya kuwasaidia watoto wanaopata matatizo ya kupumua wakati wa kuzaliwa. Lengo ni kuhakikisha hakuna kifo cha mtoto kinachotokana na matatizo ya kupumua wakati wa kuzaliwa ikizingatiwa kwamba takribani asilimia 10 ya watoto wanaozaliwa hupata matatizo ya kupumua wakati wa zoezi hilo.

Droo ya Kombe la Dunia 2018 kufanyikaDesemba 1 Urusi

Image
Droo ya Kombe la Dunia 2018 itafanyika ukumbi wa State Kremlin Palace Baada ya mataifa 32 kufanikiwa kufuzu fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani nchini Urusi, droo ya kupanga makundi ya timu hizo itafanyika Ijumaa ya Desemba 1 mjini Moscow. Kuelekea zoezi hilo baadhi ya Timu ambazo zimepangwa chungu kimoja ni chungu cha kwanza ambacho kina timu mwenyeji Urusi, Ujerumani, Brazil, Ureno, Ajentina, Ubelgiji, Poland na Ufaransa. Mambo muhimu kuhusu nchi ambazo tayari zimefuzu Kombe la Dunia 2018 Taifa la watu 335,000 lafuzu Kombe la Dunia Afrika inawakilishwa na Misri, Nigeria, Morocco, Tunisia na Senegal. Na kuelekea fainali hizo FIFA wamesema mpaka sasa kuna maombi milioni 3.5 ya tiketi na walioomba wengi wao ni wenyeji Urusi. Vyungu vimepangwa vipi? Vyungu Kombe la Dunia Chungu 1 Chungu 2 Chungu 3 Chungu 4 Urusi (wenyeji) Uhispania (8) Denmark (19) Serbia (38) U...

Mugabe 'akataa wito wa kumtaka ajiuzulu'

Image
Mugabe 'akataa wito wa kumtaka ajiuzulu' Mugabe (wa pili kulia) akiwa kuzuizi cha nyumbani akisimama na mkuu wa majeshi Constantino Chiwenga (kulia) Rais wa miaka mingi nchini Zimbabwe anaripotiwa kukataa kuandoka madarakana mara moja licha ya kuongezeka wito wa kumtaka ajiuzulu. Mugabe, 93 aliwekwa chini ya kuzuizi cha nyumbani wakati jieshi lilichukua madaraka siku ya Jumatano kufuatia mvutano kuhusu ni nani atamrithi. Hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuhusu mazungumzo yaliyofanywa Muganbe na ujumbe kutoka kanda hiyo pamoja na mapema Lakini taarifa zinasema kuwa amekataa kuondoka madarakani. Kiongozi wa upinzani Morgan Tsvangirai alisema mapema kuwa kwa manufaa ya watu Mugabe anastahili kujiuzulu mara moja. Haki miliki ya picha Reuters ...

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE YA NYABANGE NA KITUO CHA KULELEA WATOTO CHA JIPE MOYO MKOANI MARA

Image
Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akiongea na Wazee katika Makazi ya wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakati wa Tume ilipotembelea makazi hayo ikiwa ni sehemu ya Utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania. Sehemu ya wazee katika Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakimsikiliza katibu Msaidzi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa. Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akimkabidhi zawadi ya Sabuni Mkuu wa Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange iliyopo Butiama mkoani Mara Bw. Edward Mbaga wakati Tume ikifanya Utafiti mkoani humo. Kushoto ni Mhadhiri Msaidizi Chuo cha Ustawi wa Jamii Bw. Paulo Mwangosi Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akiongea na Wazee wa Makazi ya wazee  wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakati wa Tume ilipotembelea makazi hayo ikiwa ni sehemu ya Ut...

SIKU YA TAkwimu Afrika Nov 20

Image
Add caption Timothy Marko Maadhimisho ya siku ya Takwimu afrika kufanyika November 20 mwaka huu katika ukumbi wa Mwalimu nyerere jijini Dar es salaam. Akizungumza jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa shughuli za kitakwimu katika ofisi ya Takwimu lrenius Ruyobya amesema maadhimisho hayo yanaendana sambamba na matumizi bora ya Takwimu katika kuleta maendeleo. "Matumizi sahihi Takwimu za uchumi yataiwezesha serikali katika kutungasera itakayo tumika katika mipango ya maendeleo," alisema Mkurugenzi irenius ruyobya. Ruyobya alisema program Zotezinalenga kuboresha maisha ya wananchi kwakuhakiasha hudumaza jamii zinapatikana.

Time ya uchaguzi yavionya vyama vya siasa.

Image
Timothy Marko. Tume ya uchaguzi nchini (NEC)imevitaka vyama vya siasavitakavyo shiriki uchaguzi mdogo kuheshimu sheria na maadili ya uchaguzi . Wito huo  umetolewa na mwenyekiti wa time ya uchaguzi jaji semistocles kaijage amesema kuwatume hiyo imeshajiandaa vyema kuhakikisha uchaguzi huo mdogo wa madiwani unafinyika kwa muda unaitakiwa na kufikisha vifaa kwa wakati. "Kwa mujibu wa Sheria sura 124A tulisainikuyakubali kuheshimu na kutekeleza maaadili yachaguzi,"alisema kaijage

Mauzo ya hisa DSE YAFIKIA BILIONI 86

Timothy Marko. Mauzo ya hisa katika soko la Dar es salaam yamepanda kutoka Bilioni tatu Hadi bilioni 86. Akizungumza na waandishi wa habari Afisa mwandamizi wa soko lahisa Mary kinabo amesema kuwa ongeeko hillin!tokana na ununuzi wa his a za TBl. " "Wakati idadi imeomgezeka .ongezeko hilo.limetokana kwa be.i ya his a za TBL," alisema kinabo Kampuni zilizoongoza mipamoja na Tbl,Crdb,voda. Alisema kishiria chasekta viwanda kimepanda kwa pointi26_kutoka point 5,303

Tume ya haki za binadamu ya baini ukiukwaji haki Rahaco

Timothy Marko. Tume ya haki za binadamu nchini imebaini kuwepo kwa ukiukwaji wa haki za binadamu katika zoezi la kuwa hamisha waliopo pembezoni mwa reli ya tazara Akititoa uamuZi huo mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu Bahame Nyanduga amesema kuwa rahaco ilivunja nyumba za walalamikaji bila kufuata taratibu za kisheria na kutolipa fidia. "Kulingana na misingi  ya haki za binadamu nasheria za nchi pale ukiukwaji wahaki za bibadamu unatakiwa ifidiwe,,"alisema nyanduga Nyaduga alisema kuwa kifungu cha6(1

Wawekezaji wa soko LA his a wapungua.

Timothy Marko. Afisa mwandamizi wa soko la his a la Dar es salaam (Dse) Mary Kinabo amesema moja ya sababu ya kushuka kwa mauzo yahisa katika solo hill nikutokana na baadhi ya wawekezaji kuwekeza katika hatifungani. Akizungumza na waandishi wa HABARI jijini dar es salaam Mary Kinabo amesemakatika takwimu zilizopo katikasoko hilo zilionesha kuwa mauzo yamepungua kutoka bilioni ishirini had I kufikia bilionitatu, "Hatahivyoidadi ya hisazilizo uzwa na kununuliwaimepanda kutoka his a milioni1.6 kwawiki iliyoishia October 27hadi his a milioni Tatu 3 .5ya wiki ikiyoishia November 3mwaka huu" alisema Kinabo. Kinabo alisema wakati mauzo yahisa ya kishuka bilionitatu makapuni yaliyoongoza nipamoja na TTC 41%TBl27% huku CRdb ,16% wakati kampuni ya voda ni11% Alisema  ukubwa Wa mtaji wandani  umepunguashilingi bilioni217. Kutokatrioni20

Tasisi ya tssf yakanusha madai ya kutosahiliwa.

Timothy Marko Tasisi inayojishighulisha namimkopo kwa wanafunzi wa vya vyuo vikuu (tssf) imekanusha madai yaliyotolewa vyombo vya HABARI kuwataasisihiyo siyakitapeli. Akizungumza na waandishi wa HABARI jijini Mkurugenzi wa taasisi hiyoDottinat Sala amesema kuwa tasisi hiyo si yakitapeli imesajiliwa kwa namba0006981kama NGO nakisisitiza kuwa tasisi ni halali kiasheria.

Baraza LA HABARI kawataka wamiliki kuwalinda waandishi wa HABARI

Timothy MarKo BARAza la HABARI nchini(MCT)limewataka waandishi wa HABARI kuhakiaha wanapata taarifa sahihizawatu wanaowazuia kupata HABARI au kuwanyanyasa pindi wawapo katika majukumu yao. Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa baraza hilo mkajubi mkajanga wakati akizungumza waandishi wahabari mapemajijini dar es salaam ambapo amesema kuwa lengo lawito huo ni kuishitaki mtu Huyo amayenyima uhuruwa vyombo vya HABARI. "MCT inaamini mahala sahihi no mahakamaniambapo haki inaweza kupatikana" alisema mkajubi Mkajubi alisema baraza hilo linaunga mkono kufutwa kwa sheria kandamizi zinazofisha Uhuru wa kujieleza. Alisema baraza linawahimiza wahariri wamiliki kiwalinda waandishi wao.

Jeshi LA polisi kutowavumilia madereva wazembe

Timothy Marko. Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabani limesema litaendelea na uukaguzi wa magari sambamba na kusimamiasheria za barabarani ili kuepukana ajali. Akizungumza na waandishi wa HABARI Kamishina mwandamizi wa jeshi hilo Fotunatus Muslim amesema katika jitiahada za jeshi hilo halita to a msamaha kwa dereva atakaye kiuka sjeria za barani "Hatutoa nafsi wavitendovyo vyaunjjifu wa maadili ya udereva kwani taaluma yaudereva nitaluma inayozingatia sheria"alisema kamishina Muslim Kamishina Muslim amesema kuwa jeshi hilo litaendelea na operesheni ya usakama barabarani ilikuhakikisha vitendo vya ajali vinapungua. A