SERIKALI YAWATAKA WATOAHUDUMA KUTEKELEZA SHERIA ZA MAWASIILIANO
Naibu waziri wa wizara ya sanyansi na Mawasiliano na Teknolojia Mhandisi Atashasta Nditiye |
Naibu waziri wa wizara ya sanyansi na Mawasiliano na Teknolojia Mhandisi Atashasta Nditiye amewataka watoa huduma za televisheni nchini kuhakikisha wanatimiza mashariti yakutoa huduma kwa televisheni ambazo ni za nyumbani (local chanel )kuhakikisha wanazitoa chanel hizo pasipo malipo kama ilivyo elekezwa na sheria ya huduma za vyombo vya habari nchini .
Akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wadau mbalimbali wasekta ya mwasiliano nchini jjijini Dar es salaam mapema hii leo Mhandisi Nditiye amesema kuwa nivyema watoaji wahuduma za televisheni kuweza kupitia sheria za utoaji wahuduma kwanjia yatelevisheni ambapo ameseesitiza nilazima chaneli tano za nyumbani za kitaifa nilazima zitolewe bure pasipokuwa na malipo kama ilivyo elekezwa .
''Wananachi wengi wmekuwa wakilalamikia mikataba ya watoaji huduma za mawasiliano nilazima baraza lawalaji wapate huduma kwa wakati ningependa mshauriane kuhusiana nahili hasa kwa kwatoaji huduma za televisheni kuna sera za chaneli tano za nyumbani nibure lakini sasahivi hazionekani nilazima tujiulize je kanuni zimebadilishwa ''Alisema Naibu waziri wa sayansi mawasiliano na Teknolojia mhandisi Atashasta nditiye .
Mhandisi Nditeye alisema kuwa nivyema watendaji wawizarahiyo kuweza kuzungumza nawananchi iliwaweze kufahamu majukumu ya wizara ya mawasiliano ikiwemo kuhakikisha kuwasajili watalamu wa wasekta ya mawasiliano ilikuweza kuwabaini watakao vunja sheria za mawasiliano .
''Ninaomba mawazo yenu muweze kuyatoa ili muweze kumsaidia mheshimiwa Rais Magufuli kwa taluma yenu ilikuweza kuhakikisha TANZANIA yaviwanda inafikiwa kwakufanya kazi kwa uaminifu na kwa uadilifu ''Aliongeza Mhandisi nditiye .
Kaimu Mtendaji watume ya Tehama nchini mhandisi Samson Mwera amesema kuwa sekta yamawasiliano imekuwa namchango mkubwa katika kukuza uchumi wizara hiyo tayari imeshatengezeneza sera ilkuwezesha sekta yamawasilano iweze kukua ipasavyo .
Comments
Post a Comment