TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13

Image result for jaji kiongozi
jaji kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Dk Eliezer  Feleshi
Timothy Marko
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kujadili changamoto za madawati ya kijinsia na kutoa mapendekezo barani afrika kuanzia juni 13 mwaka huu mkoani ARUSHA
.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam jaji kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Dk Eliezer Feleshi amesema kuwa mkutano huo unatarajiwa kuwa na wajumbe wapatao 350 wakutoka katika bara lafrika ambapo ajenda yamkutano huo inatarajiwa kuwa uzingatia wa kijinsia katika masuala ya utoaji haki na kusilikiza migogoro .

''tumesha anza kupokea wageni kutoka sehemu mbalimbali katika bara la afrika ambapo katika katiba yetu inazuia ubaguzi waaina yeyote nakuzingatia usawa wa kijinsia ambapo tanzania imekuwa mtekelezaji wa masula ya usawa wakijinsia katika utoaji haki hadi hivi sasa tunao majaji wanake na mahakimu majaji ambao ni wanawake ''Alisema Dk Eliezer FELESHI .

Dk.FELESHI alisema kuwa mkutano huo utajumuisha programu mbalimbali ikiwemo masuala kijinsia ambapo utajumuisha wadau malimbali washeria kujadili juu ya wajibu nawauzingatiaji wa masuala yakijinsia katika utoaji haki.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine