Tume ya haki za binadamu ya baini ukiukwaji haki Rahaco

Timothy Marko.
Tume ya haki za binadamu nchini imebaini kuwepo kwa ukiukwaji wa haki za binadamu katika zoezi la kuwa hamisha waliopo pembezoni mwa reli ya tazara
Akititoa uamuZi huo mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu Bahame Nyanduga amesema kuwa rahaco ilivunja nyumba za walalamikaji bila kufuata taratibu za kisheria na kutolipa fidia.
"Kulingana na misingi  ya haki za binadamu nasheria za nchi pale ukiukwaji wahaki za bibadamu unatakiwa ifidiwe,,"alisema nyanduga
Nyaduga alisema kuwa kifungu cha6(1

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine