TWAWEZA :TANZANIA RUSHWA BADO PASUA KICHWA.
MKURUGENZI WA TAASISI YA TWAWEZA IDAN LYAKUZE |
LICHA ya serikali ya awamu ya Tano nchini Tanzania kujikita katika kupamabana na rushwa bado suala hilo limekuwa pasua kichwa baada ya Taasisi za haki ikiwemo mahakama na polisi kutajwa kuwa ndio vinara waruhwa .
KATIKA utafiti uliofanywa nataasisi isiyo ya kiserikali ya twaweza ilionesha kuwakatika kipindi cha 2014 rushwa katika taasisi za serikali ikiwemo polisi imetajwa kuwani kinara kwa asilimia 60 hadikufikia asilimia 34 kwa mwaka huu .
Utafiti huo ulibainisha kuwa wananchi bado wamekuwa wakiombwa rushwa pindi wanapokutana na taasisi hizo mbili ambapo katika kipindi cha 2017 wananchi waliweza kuombwa rushwa katika sekta za ardhi 18%afya asilimia 11 huku sekta ya maji asilimia 6.
''rushwa wakati wakampeni umakuwa hadikufikia asilimia 93 huku swala lawafanyakazihewa asilimia 65huku posho za vikao imedaiwa kuwa ni rushwa kwamujibu waripoti hiyo kutoka kwa wananchi ''ilieleza ripoti hiyo
KATIKA hatua nyingine ripoti hiyo ilibanisha kuwa baadhi yawananchi kuweza kuwafungwa gerezani .
Comments
Post a Comment