JESHI LAPOLISI KUJIKITA KATIKA KUZUIA UHALIFU WA KUTUMIA SILAHA.
![]() |
INSPEKTA WA POLISI NCHINI TANZANIA IGP SIMONI SIRRO. |
JESHI la polisi nchini limempokea msaada wa magari yenye thamani yashilingi milioni 166.5 kutoka shilika la maendeleo laumoja wa mataifa UNDP ilikuweza kupambana navitendo vyaugaidi .
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada yakupokea magari hayo katika makao makuu yajeshi hilo jijini Dar es salaam inspekta wa jeshi hilo Simoni Sirro amesema kuwa jeshi hilo limeupokea msaada huo wa magari hayo lakini itautumia katika operesheni mbalimbali zakuzuia uhalifu nchini kwani sasasa hivi suala laugaidi kwa TANZANIA sio tishio kama ilivyokuwa awali .
''LEO tumepokea magari kutoka Undp kwa ajili yaugaidi lakini sisi tutatumia kwa kuendesha operesheni kwa wanyang'anyi wanaotumia silaha kwani hivi sasa kila mwaka tunapata bajeti yamagari ya opereshenimbalimbali za jeshi lapolisi ''ALISEMA inspekta SIMONI SIRRO .
Comments
Post a Comment