UMOJA WAMATAIFA WAITAKA TANZANIA KUBORESHA VYANZO VYANISHATI YA UMEME.
![]() |
SHIRIKA la umoja wa mataifa nchini Tanzania imetaka nchi ya Tanzania kuweza kutafakari kwa upya juu ya kuboresha sera zake ilikuweza kufikia uchumi wa kati na nchi ya viwanda ifikapo 2020.
Wito huo umetolewa mapemahii leo jijini Dar es salaam katika ofisi za umoja huo zilizopo jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa ripoti uboreshaji wa nishati katika nchi zinzoendelea ,ambapo ripoti hiyo imetaka nchi ya Tanzania kuwezekeza zaidi bajeti yake katika sekta nishati ilikuweza kufikia uchumi wakati unaotegemea viwanda .
''ilikuweza kufikia uchumi wakati unaotumia viwanda nilazima nchi zinazo endelea kuwekeza zaidi inakaririwa ili nchi zinazo endelea kuweza kufikia malengo yake inatakiwa kuwekeza dola 12bilioni hadi dola bilioni 40 kwa mwaka ''ilisema Ripoti hiyo.
RIPOTI hiyo ilizitaka nchi zinazo endelea kama Tanzania kuweza kuwekeza vyanzo zaidi vya uzalishaji umeme huku ikitoa pongezi kwa nchi ya tanzania kuanza kuzalishagesi badala ya maji nakuitaka nchi hiyo iongeze nguvu zaidi katika vyanzo vya umeme .
ILISEMA kuwa nchi ya angola imeweza kupiga hatua katikakuboresha vyanzo vya umeme huku jumla yamiradi yaumememe inayotumia nishati navyanzo vingine imefikia asilimia 98 .
''vyanzo mbadala kama nishati yajua upepo vinaweza kuwa namatokeo yakimapinduzi katika maeneo yavijijini yasiyokuwa naumeme na kushinda vikwazo vyakuosa umeme ''Iliongeza ripotihiyo .
Comments
Post a Comment