Mafunzo kuhusu namna ya kumsaidia mtoto kupumua wakati wa kuzaliwa


katika ukumbi wa Nyakahoja Jijini Mwanza ambapo Wakunga na Madaktari wa kutoka Zahanati, Vituo vya Afya pamoja na Hospitali za binafsi Kanda ya Ziwa, wanakutana kwa ajili ya kupata mafunzo ya kuwasaidia watoto wanaopata matatizo ya kupumua wakati wa kuzaliwa. Lengo ni kuhakikisha hakuna kifo cha mtoto kinachotokana na matatizo ya kupumua wakati wa kuzaliwa ikizingatiwa kwamba takribani asilimia 10 ya watoto wanaozaliwa hupata matatizo ya kupumua wakati wa zoezi hilo.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine