Jeshi LA polisi kutowavumilia madereva wazembe

Timothy Marko.
Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabani limesema litaendelea na uukaguzi wa magari sambamba na kusimamiasheria za barabarani ili kuepukana ajali.
Akizungumza na waandishi wa HABARI Kamishina mwandamizi wa jeshi hilo Fotunatus Muslim amesema katika jitiahada za jeshi hilo halita to a msamaha kwa dereva atakaye kiuka sjeria za barani
"Hatutoa nafsi wavitendovyo vyaunjjifu wa maadili ya udereva kwani taaluma yaudereva nitaluma inayozingatia sheria"alisema kamishina Muslim
Kamishina Muslim amesema kuwa jeshi hilo litaendelea na operesheni ya usakama barabarani ilikuhakikisha vitendo vya ajali vinapungua.
A




Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine