SIKU YA TAkwimu Afrika Nov 20

Tokeo la picha la ofisi ya takwimu
Add caption
Timothy Marko
Maadhimisho ya siku ya Takwimu afrika kufanyika November 20 mwaka huu katika ukumbi wa Mwalimu nyerere jijini Dar es salaam.
Akizungumza jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa shughuli za kitakwimu katika ofisi ya Takwimu lrenius Ruyobya amesema maadhimisho hayo yanaendana sambamba na matumizi bora ya Takwimu katika kuleta maendeleo.
"Matumizi sahihi Takwimu za uchumi yataiwezesha serikali katika kutungasera itakayo tumika katika mipango ya maendeleo," alisema Mkurugenzi irenius ruyobya.
Ruyobya alisema program Zotezinalenga kuboresha maisha ya wananchi kwakuhakiasha hudumaza jamii zinapatikana.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine