Baraza LA HABARI kawataka wamiliki kuwalinda waandishi wa HABARI

Timothy MarKo
BARAza la HABARI nchini(MCT)limewataka waandishi wa HABARI kuhakiaha wanapata taarifa sahihizawatu wanaowazuia kupata HABARI au kuwanyanyasa pindi wawapo katika majukumu yao.

Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa baraza hilo mkajubi mkajanga wakati akizungumza waandishi wahabari mapemajijini dar es salaam ambapo amesema kuwa lengo lawito huo ni kuishitaki mtu Huyo amayenyima uhuruwa vyombo vya HABARI.
"MCT inaamini mahala sahihi no mahakamaniambapo haki inaweza kupatikana" alisema mkajubi
Mkajubi alisema baraza hilo linaunga mkono kufutwa kwa sheria kandamizi zinazofisha Uhuru wa kujieleza.
Alisema baraza linawahimiza wahariri wamiliki kiwalinda waandishi wao.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine