Wawekezaji wa soko LA his a wapungua.

Timothy Marko.
Afisa mwandamizi wa soko la his a la Dar es salaam (Dse) Mary Kinabo amesema moja ya sababu ya kushuka kwa mauzo yahisa katika solo hill nikutokana na baadhi ya wawekezaji kuwekeza katika hatifungani.

Akizungumza na waandishi wa HABARI jijini dar es salaam Mary Kinabo amesemakatika takwimu zilizopo katikasoko hilo zilionesha kuwa mauzo yamepungua kutoka bilioni ishirini had I kufikia bilionitatu,
"Hatahivyoidadi ya hisazilizo uzwa na kununuliwaimepanda kutoka his a milioni1.6 kwawiki iliyoishia October 27hadi his a milioni Tatu 3 .5ya wiki ikiyoishia November 3mwaka huu" alisema Kinabo.
Kinabo alisema wakati mauzo yahisa ya kishuka bilionitatu makapuni yaliyoongoza nipamoja na TTC 41%TBl27% huku CRdb ,16% wakati kampuni ya voda ni11%
Alisema  ukubwa Wa mtaji wandani  umepunguashilingi bilioni217. Kutokatrioni20




Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine