Time ya uchaguzi yavionya vyama vya siasa.

Tokeo la picha la tume ya uchaguzi
Timothy Marko.
Tume ya uchaguzi nchini (NEC)imevitaka vyama vya siasavitakavyo shiriki uchaguzi mdogo kuheshimu sheria na maadili ya uchaguzi .
Wito huo  umetolewa na mwenyekiti wa time ya uchaguzi jaji semistocles kaijage amesema kuwatume hiyo imeshajiandaa vyema kuhakikisha uchaguzi huo mdogo wa madiwani unafinyika kwa muda unaitakiwa na kufikisha vifaa kwa wakati.
"Kwa mujibu wa Sheria sura 124A tulisainikuyakubali kuheshimu na kutekeleza maaadili yachaguzi,"alisema kaijage

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine