Timothy Marko .
KITUO cha Sheria na Haki Za Binadamu nchini (LHRC) Kimepinga hatua ya vyombo vya dola kutumia nguvu katika uchaguzi wa madiwani ulifanyikahivi karibuni kwa baadhi ya mikoa nakukifananisha kitendo hicho kuwa kina minya demokrasia nchini .
Akizungumza na waaandishi wa Habari Kaimu Mkurugenzi wa kituo hicho jijini Dar es salaam Anna henga amesema kuwa hivi karibuni kumekuwa na matukiombalimbali katika kata sita ngabobo makiba ,leguruki Ambureki Mororoni pamoja namusa ambapo mawakala wa vyama waliweza kutolewa nje baada ya masaa manne nakiksha kuamuriwa kuingia ndani ya vituo .
''Mazingira haya yanaashiria vya kuufanya uchaguzi usio huru

Comments
Post a Comment