JK AWAFUNDA WASAANII WA KITANZANIA

Tokeo la picha la jakaya kikweteTimothy Marko.

WASAANI wa filamu nchini wametakiwa kutunga filamu zinazoendana na Maadili ya kitanzania ilkuweza kukuza soko hilo nakuitangaza nchi ya Tanzania kimataifa .


wito huo umetolewa na Rais mstaafu wa awamu ya nne wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania DK.Jakaya kikwete wakati akizindua kituo cha televisheni cha janson tv kinacho jiuhusisha na masuala filamu za kitanzania jijini Dar es salaam,ambapo amesema niwakati kwa wasanii hao kukuza lugha ya kiswahili na kutunga filamu zilizo na maudhui ya kitanzania .

''wakati huu nimuda muafaka wakutangaza kazi zenu kwa kutumia lugha ya kiswahili msiogope kushindwa kwani wakati huu niwakati wamashindano hivyo msitegemee kulindwa kwa kazi zenu ''Alisema DK.JAKAYAKIKWETE.

DK.KIKWETE Alisema nivyema wasanii hao wafilamu kuzingatia ubora katika kazi zao kabla hwajawasilisha kwa jamii husika ilikuweza kukuza ushindani .

Alisema kuwa soko la filamu nikubwa na lauhakikika hivyo aliwa taka kutengezeneza filamu ambazo zitakuza ushindani barani afrika .''kwasasa hivi sisi niwapili katika usambazaji nautengenezaji wa 
filamu barani afrika yaani baada ya nchi yanigeria tunafuatia sisi hii nifursa muhimu kwetu kuweza kukuza sanaa ''aliongeza DK.KIKWETE.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine