Posts

Showing posts from October, 2017

Tdb yawaihidi mikopo kwa wananchi kujikwamua kiuchumi.

Timothy Marko. Katika kuhakikisha ukanda wa afrika mashariki na kati inafikiwa na maendeleo ya kiuchumi Benki ya kibiashara ya Tdb imeihaidi kuendelea kutoa mikopo ilikuweza kufadhili m mradi ya nyumba. Akizungumza na waandishi waHABARI Mkurugenzi wa miradi  wa Benki hiyo marry kamali amesema miradi inayotolewa nipamoja miradi yaujenzi wanyumba sambamba miundombinu yamaji. "Sambamba nakufadhili miradi ya majipia tdbp inaendela kufadhili miradiya usafirishaji biashara yakilimopamoja na viwanda kwa kutoa fedha kuweza kufadhilii miradi hiyo. "AlisemaMary kamali Kamali alisema kuwabenki ya tdb imekuwa ikijikita katika kuimarisha biashara maendeleo kiuchumi.

Benki Ya Kilimo Kusaidia Mageuzi Ya Kilimo Njombe

Image
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Christopher Ole Sendeka (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) walipomtembelea Ofisini kwake Mkoani Njombe. Ugeni uliongozwa na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rehema Twalib (wanne kushoto waliokaa). Kiongozi wa Msafara wa Ukaguzi wa Miradi ya Kilimo Mkoani Njombe ambaye Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rehema Twalib (Kulia) akiwa na Meneja Ufuatiliaji na Tathamini ya Mikopo wa TADB, Bw. Dickson Pangamawe (kushoto) wakifuatilia kwa makini mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Christopher Ole Sendeka (hayupo pichani). Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Christopher Ole Sendeka akihimiza jambo wakati wa mazungumzo yake na ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) (hawapo pichani). Afisa Mifugo wa Mkoa wa Njombe, Dkt. George Katemba (watatu kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania walipofanya ziar...

PONDAMALI AWAAMBIA SIMBA WASUBIRI SASA BAO LA TAMBWE

Image
Ikiwa ni siku mbili baada ya kutoa sare ya bao 1-1, Kocha wa Makipa wa Yanga, Juma Pondamali ‘Mensah’, amefunguka na kudai kuwa ligi haijaisha na watalipa kisasi tu na kuhakikisha wanawafunga Simba, lakini kocha huyo amedai kuwa Simba wana bahati kwa kuwa Amissi Tambwe na Donald Ngoma hawakuwepo. Juzi Jumamosi Yanga iliwakosa baadhi ya mastraika viwembe wa timu hiyo akiwemo Amissi Tambwe na Donald Ngoma ambao wamekuwa na rekodi safi ya upachikaji mabao. Katika mchezo huo, bao la Yanga lilifungwa na straika Mzambia, Obrey Chirwa ambapo mpaka sasa tayari amefikisha mabao matatu msimu huu lakini Emmanuel Martin alikosa nafasi adimu ambayo ingeweza kuipa ushindi Yanga. Kocha huyo alisema mchezo huo ulikuwa na ushindani ingawa wao walipata nafasi nyingi na walishindwa kuzitumia vyema na kusababisha kuambulia alama moja. “Juzi Simba wamelipata bao la Chirwa tu mzunguko ujao litakuwepo la Tambwe, Ngoma, Ajibu yaani watabaki kuhesabu maana hatutawapa nafasi t...

Uchaguzi Kenya: Matokeo kutangazwa leo

Muhtasari Tume ya IEBC imesema itatangaza matokeo ya uchaguzi wa urais saa tisa unusu leo alasiri. IEBC inatarajiwa kutangaza hatima ya uchaguzi katika majimbo manne magharibi mwa nchi hiyo ambayo uchaguzi ulivurugika Mgombea wa upinzani Raila Odinga alisusia uchaguzi huo na amesema hayuko tayari kustaafu Idadi ya walioshiriki uchaguzi huo kwakwa mujibu wa matokeo ya maeneo bunge 251 kati ya 291 ni 7,447,014 sawa na asilimia 43.04. Tume ya IEBC imesema itatangaza matokeo ya uchaguzi wa urais saa tisa unusu leo alasiri. IEBC inatarajiwa kutangaza hatima ya uchaguzi katika majimbo manne magharibi mwa nchi hiyo ambayo uchaguzi ulivurugika Mgombea wa upinzani Raila Odinga alisusia uchaguzi huo na amesema hayuko tayari kustaafu Idadi ya walioshiriki uchaguzi huo kwakwa mujibu wa matokeo ya maeneo bunge 251 kati ya 291 ni 7,447,014 sawa na asilimia 43.04.

LAZARO NYALANDU AJIUZURU UBUNGE

Image
NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia leo, Oktoba 30, 2017. HALIKADHALIKA, asubuhi ya leo nimemwandikia Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai, Mb., barua ya kujiuzulu nafasi yangu ya UBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia tiketi ya CCM, nafasi ambayo nimeitumikia kwa vipindi vinne mfululizo tangu nilipochaguliwa kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 2000 hadi Sasa. AIDHA, Nimechukua UAMZI huo kutokana na kutorishwa kwangu na mwenendo wa hali ya Kisiasa nchini, ikiwa ni pamoja na ukiukwaji wa HAKI za Kibinadamu, ongezeko la vitendo vya dhuluma wanavyofanyiwa baadhi ya watanzania wenzetu, na kutokuwepo kwa mipaka ya wazi kati ya MIHIMILI ya dola (Serika...

SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUUMPUUZA ZITTO.

Image
Add caption Timothy Marko  SERIKALI imewataka wananchi uzipuuza taarifa zilizotolewa na mbunge  wa kigoma kwa tiketi ya chama Cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe kuwa juu yakuwaji wa uchumi ambapo mbunge huyo amedai kuwa katika kipindi charobo ya mwaka 2017 uchumi umekuwa kwa asilimia 0.1 nasiyo asilimia 5.7 kama ilivyotolewa na benki kuu ya TANZANIA . imesema kuwa ukuwaji wa wa uchumi ulitajwa nambunge huyo wa asilimia 5.7 ulikuwa niwa robo yamwaka ya kwanza yamwaka 2017kutoka benki kuu nsiyo robo yapili ambapo serikali imesemakuwa takwimu za robo ya mwaka huu bado hazijatolewa . Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam mkurugenzi wa tafiti za uchumi nasera Jonh nyella amesema kuwa kuwaji wapato lataifa warobo yataifa katika robo yapili ya mwaka huu ni asilimia 7.8 ambapo ongezeko laujazi wa fedha umekuwa asilimia 6.1 kwakipindi charobo mwaka wakati mfumuko wa bei warobo yapili ni asilimia 6.0 huku ukuaji wa pato lataifa umekuwa kwasilimia 0.1 kwa robo...

Mkutano wa bima kufanyika November.mosi

Timothy  Marko Mamlaka ya usimamizi wa bima nchini imewataka wadau mbalimbali wa sekta ya bima nchini kujitokeza kuhudhuria mkutano wa bima utakao fanyika November 1-3 jijini arusha. Akizungumza na waandishi wa HABARI jijini dar es salaam kamishina wa bima  nchini Dk.baghayasaqwere amesema masuala yatakayo jadiliwa pamoja uenddelezaji wa huduma za bima. "Tira kama msimamizi namshauri wa seerikali inawaalika wadauwote wasektaya bima ikiwemo mawakala wa bimakutumia mkutano huu kujifunzaa,''alisema saqwere.

Jaji warioba awataka wasiasa kuiga viongozi WA dini.

Timothy Marko. Jaji mstaafu nchini Tanzania Joseph warioba amewataka viongozi wa kisiasa kuigamfano wa viongozi wadini kuweza kujadili changamoto zao kwa mstakabali wa nchi. Akizungumza katika komgamamo LA amano lililo andaliwa na taasisi ya Mwalimu nyerere warioba amesema kuwa nuhimu kwa viongozi hao kujenga utamaduni wakuvumiliana kama viongozi wa dini. ''Tungekuwa katika halimbaya kama viongozi hawa wasinge jenga utamaduni wa kutana  Mara kwa Mara"alisema jaji warioba Jaji warioba amesema kuwa nivyema viongozi wa kisiasa  kuachana na mal

Mwakyembe awataka viongozi wadini kuhubiri uzalendo.

Timothy Marko WAZIRI wa Habari Sana'a utamaduni na michezo Dk Harrison Mwakyembe amewataka viongozi wadini kuhubiri uzalendo Akifungua mkutano wa viongozi wadini jijini Dar es  salaam Dk Mwakyembe amesema kuwa yawapasa vion gozi hao kuwa na uchungu na taifa lao ili kuweza kufikia uchumi wa viwanda "'Serikali inathamini mchango wa viongozi WA dini katika kuleta amani kwani mmleta mabadiliko makubwa hasa mziki wa injili kwani mmehamasisha waumini wenu kuvaa nguo za staha"'alisema Dk Mwakyembe DkMwakyembe alisema kuwa msingi kubwa wa amani katika nchi unachangiwa viongozi wadini kutimiza majukumu yao. Alisema binadamu wote wanakiri mchango wa mungu katika kuleta amani. " ili tuweze kufikia uchumiwakati suala uzalendo umarishaji wa nishati ya umeme niasuala muhimu" Aliongeza Dk Mwakyembe. Shelk wa Dar es salaam Alhaji Mussa amesema kuwa vitabuvyadini vinahimiza kuipenda nchi nakuwa wa uzalendo.

JESHI LA POLISI KUFANYA UCHUNGUZI KUUWAWA KWA ASKARI WAKE.

Image
Kamishina kanda Maalum RPC Lazaro  MAMBOSASA Timothy Marko. JESHI la POLISI kanda maalumu jijini Dar es salaam limesema linaendelea kufanya uchunguzi wa kuwawa kwa askari wake wakikosi cha kutuliza Ghasia (FFU) Charles senyanga mwenye namba zausajili XG475 huko ukonga jijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Kamishina kanda Maalum RPC Lazaro Mambosasa amesema kuwa tukio hilo lilitokea october 21 majira ya saa sita usiku baada yakushambuliwa nawatu wasiojulikana na kukutwa mwiliwake umelowa damu nakukatwa sikio . ''Jeshi lapolisi lina laani vikali vitendo vya uzalilishaji wa askari wake ikiwemo kufanya uchunguzi wawatuhumiwa waliohusika natukio hilo ''Alisema Kaishina mambo sasa  Mambo sasa alisema kuwa jeshi hilo linaendelea kufanya uchunguzi katika eneo hilo ambapo uchunguzi wa awali ulioneshakuwa kuna baadhi ya wananchi wasio waminifu wamekuwa wakitoa vitisho katika eneo hilo . ALISEMA kuwa jeshi hilo litahakisha lin...

MAUZO ya hisa ya pungua

Timothy Marko. Kiwango cha mauzo ya hisa jijini dar es salaam kimeashuka kutoka shilingi bilioni 30 kwa kipindi cha wiki iliyopita ikilinganishwa na shilingi bilioni 23 kwa wiki hii. Akiungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam afisa mwandamizi wa soko la hisa DSE Merry Kinabo ameswma kushuka kwa idadi ya mauzo hayo kumetokana na kiashiria cha soko DDSI kupanda kutoka point 48 kutoka point 2124 hadi kufikia point 2172 hali hiyo imetokana na kupanda kwa hisa za bei za uchumi super market pamoja ba acacia. ,"",wakati huohuo mauzo ya hati fungani yalikuwa shilingi bilioni13 kutoka bilioni 9 kwa wiki iliyopita,,"'Alisema Kinabo. Kinabo amesema kampuni zilizongoza TBL ikfiatiwa naTcc pamoja nacrdb

SERIKAli yaionya tucta.

Timothy Marko Serikali imeionya shirikisho la  vyama vya wafanyakazi(tucta)juu ya upotoshaji juu ya malipo ya watumishi nakuwataka kutojiingiza katika masuala ya siasa. Akizungumza na waandishi wa HABARI Mkurugenzi wa idara ya HABARI MAELEZO Dk hassan Abbas amesema kuwa kama kweli taasisi hiyo ilaumu serikali kutotoa nyongeza ya mshahara ,,madai haya siyakweli serikali imewataka wasikurupuke kwani hadi hivi sasa jumlashilingi bilioni napo bajeti bil bikni 70."'alisemaDk ,Abbas Dk.Abbas amesema kuwa zoezi la kuwaondoa watumishi hewa si lauonevu kama watumishi hao wameowa walete vyeti vyao vyataluma Alisema serikali imedai lazima uw e Umefuzu taaluma.

SHELK Ponda ASHIKILiWA Na Polisiv

Timothy Marko Siku chache baada ya kiongozi wa kundi la uamusho shelk issa ponds kutoa taarifa ya uchochezi kuhusiana na serikali ya awamu yatano,Jeshi lapolisi Kanda Maalum jijini Dar es salam limemtaka kiongozi huyo kujisalimisha   Akizungumza na waandishi wa HABARI Jijini Dar es salaam kamishina Lazaro mambo sasa amesema kuwa wanaendelea kumshikilia kiongozi huyo kwa kaulizake za kichochezi. "Tunaendelea kumfuatilia shelkh ponda kwa makosa ya jinai kama vile uchochezi kwa hiyo kukimbia kwake hakutomsaidia,"Alisema kamishina Mambosasa.  Hivi karibuni kiongozi huyo aliitisha mkutano wanahabari baada kukerwa na baadhi ya mambo nchini ikiwemo suala demokrasia nchini

MKUCHIKA;NITASIMAMIANIDHAMU KWENYE Wizara yangu.

Timothy Marko Waziri wa wizara ya  madini Angela kairuki  amewataka watumishi waliopo katika wizara yake kuzingatia maadili ya utumishi wa umma Akizungumza katika mkutano wa makabidhiano kati yake aliyekuwa mwenyekiti wa maadili ya bunge George MKuchika amesema kuwa watumishi wa umma wanapaswa rkuwaadilifu nahatoweza Kuvumilia vitendo vya uvunjifu wa maadili "Suala nidhamu wa umma ni muhimu kwani kunabaadhi ya watumishi sio waadilifu," Alisema Kairuki. Kairuki alisema hadi kufikia sasa watumishi 16600ndio waliokidhi vigezo vya kupandishwa vyeo. Katika hatua nyingine Waziri aliyekasimu madaraka ya wizara hiyo George MKuchika amesema kuwa Waziri kairuki ameshaweka misingi ya utawala bora ambapo vita kubwa atakayopambana nayo ni rushwa. Alisema ili kuweza kupambana navitendo vya rushwa amepanga kutoa semina ya rushwa juu ya watumishi hao ili kuhakikisha vitendo hivyo vinakomeshwa. "ifike wakati somo larushwa lifundishwe katika ngazi ya msingi hadichuo kikuu" ...

MFUMUKO WABEI WAPUNGUA

Image
Mkurugenzi wa ofisi yatakwimu nchini EphrahimuKWESIGABO Timothy Marko . MFUMUKO wa bei nchini kwa mwezi september mwaka jana umeongezeka kwa asilimia 0.02 ikilinganishwa na mwezi agosti huu huku farihisi za bei zimeongezeka kutoka 108 .46 kwa mwezi agosti hali iliyochangiwa na kuongezeka kwa  bei ya vyakula na visivyo vyakula . Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa ofisi yatakwimu nchini Ephrahimu kwesigabo amesema kuwa baadhi ya bidhaa zilizochangia kuongezeka kwabei nipamoja na dagaa 7%Matunda makavu ikiwemo nazi kwaasimia 3.1. ''BIDHAA mfanodaga uchangiwa kwafarihisi zabei kuongezeka huku bidhaa zisizo na chakula kusababisha farihisi zabei kuongezeka kwa farihis za bei nipamoja mka petroli kwa asilimia 0.6''Alisema KWESIGABO.