Mkutano wa bima kufanyika November.mosi

Timothy  Marko
Mamlaka ya usimamizi wa bima nchini imewataka wadau mbalimbali wa sekta ya bima nchini kujitokeza kuhudhuria mkutano wa bima utakao fanyika November 1-3 jijini arusha.

Akizungumza na waandishi wa HABARI jijini dar es salaam kamishina wa bima  nchini Dk.baghayasaqwere amesema masuala yatakayo jadiliwa pamoja uenddelezaji wa huduma za bima.
"Tira kama msimamizi namshauri wa seerikali inawaalika wadauwote wasektaya bima ikiwemo mawakala wa bimakutumia mkutano huu kujifunzaa,''alisema saqwere.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine