MFUMUKO WABEI WAPUNGUA
![]() |
Mkurugenzi wa ofisi yatakwimu nchini EphrahimuKWESIGABO |
MFUMUKO wa bei nchini kwa mwezi september mwaka jana umeongezeka kwa asilimia 0.02 ikilinganishwa na mwezi agosti huu huku farihisi za bei zimeongezeka kutoka 108 .46 kwa mwezi agosti hali iliyochangiwa na kuongezeka kwa bei ya vyakula na visivyo vyakula .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa ofisi yatakwimu nchini Ephrahimu kwesigabo amesema kuwa baadhi ya bidhaa zilizochangia kuongezeka kwabei nipamoja na dagaa 7%Matunda makavu ikiwemo nazi kwaasimia 3.1.
''BIDHAA mfanodaga uchangiwa kwafarihisi zabei kuongezeka huku bidhaa zisizo na chakula kusababisha farihisi zabei kuongezeka kwa farihis za bei nipamoja mka petroli kwa asilimia 0.6''Alisema KWESIGABO.
Comments
Post a Comment