SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUUMPUUZA ZITTO.

Add caption

Timothy Marko 

SERIKALI imewataka wananchi uzipuuza taarifa zilizotolewa na mbunge  wa kigoma kwa tiketi ya chama Cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe kuwa juu yakuwaji wa uchumi ambapo mbunge huyo amedai kuwa katika kipindi charobo ya mwaka 2017 uchumi umekuwa kwa asilimia 0.1 nasiyo asilimia 5.7 kama ilivyotolewa na benki kuu ya TANZANIA .


imesema kuwa ukuwaji wa wa uchumi ulitajwa nambunge huyo wa asilimia 5.7 ulikuwa niwa robo yamwaka ya kwanza yamwaka 2017kutoka benki kuu nsiyo robo yapili ambapo serikali imesemakuwa takwimu za robo ya mwaka huu bado hazijatolewa .


Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam mkurugenzi wa tafiti za uchumi nasera Jonh nyella amesema kuwa kuwaji wapato lataifa warobo yataifa katika robo yapili ya mwaka huu ni asilimia 7.8 ambapo ongezeko laujazi wa fedha umekuwa asilimia 6.1 kwakipindi charobo mwaka wakati mfumuko wa bei warobo yapili ni asilimia 6.0 huku ukuaji wa pato lataifa umekuwa kwasilimia 0.1 kwa robo ya mwaka 2017 

''ukokotoaji wa aina hii umejengwa juu yanadharia inayoitwa quantity theory of money ambayo kimsigi inasema mfumuko wabei hutokea fedha zinapoongezeka kwa kasi zaidi kuliko uzalishaji halisi ''ALISEMA NYELLA.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine