SERIKAli yaionya tucta.

Timothy Marko
Serikali imeionya shirikisho la  vyama vya wafanyakazi(tucta)juu ya upotoshaji juu ya malipo ya watumishi nakuwataka kutojiingiza katika masuala ya siasa.
Akizungumza na waandishi wa HABARI Mkurugenzi wa idara ya HABARI MAELEZO Dk hassan Abbas amesema

kuwa kama kweli taasisi hiyo ilaumu serikali kutotoa nyongeza ya mshahara
,,madai haya siyakweli serikali imewataka wasikurupuke kwani hadi hivi sasa jumlashilingi bilioni napo bajeti bil bikni 70."'alisemaDk ,Abbas
Dk.Abbas amesema kuwa zoezi la kuwaondoa watumishi hewa si lauonevu kama watumishi hao wameowa walete vyeti vyao vyataluma
Alisema serikali imedai lazima uw e
Umefuzu taaluma.


Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine