MAUZO ya hisa ya pungua

Timothy Marko.
Kiwango cha mauzo ya hisa jijini dar es salaam kimeashuka kutoka shilingi bilioni 30 kwa kipindi cha wiki iliyopita ikilinganishwa na shilingi bilioni 23 kwa wiki hii.

Akiungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam afisa mwandamizi wa soko la hisa DSE Merry Kinabo ameswma kushuka kwa idadi ya mauzo hayo kumetokana na kiashiria cha soko DDSI kupanda kutoka point 48 kutoka point 2124 hadi kufikia point 2172 hali hiyo imetokana na kupanda kwa hisa za bei za uchumi super market pamoja ba acacia.
,"",wakati huohuo mauzo ya hati fungani yalikuwa shilingi bilioni13 kutoka bilioni 9 kwa wiki iliyopita,,"'Alisema Kinabo.
Kinabo amesema kampuni zilizongoza TBL ikfiatiwa naTcc pamoja nacrdb

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine