Mwakyembe awataka viongozi wadini kuhubiri uzalendo.

Timothy Marko
WAZIRI wa Habari Sana'a utamaduni na michezo Dk Harrison Mwakyembe amewataka viongozi wadini kuhubiri uzalendo
Akifungua mkutano wa viongozi wadini jijini Dar es  salaam Dk Mwakyembe amesema kuwa yawapasa vion gozi hao kuwa na uchungu na taifa lao ili kuweza kufikia uchumi wa viwanda
"'Serikali inathamini mchango wa viongozi WA dini katika kuleta amani kwani mmleta mabadiliko makubwa hasa mziki wa injili kwani mmehamasisha waumini wenu kuvaa nguo za staha"'alisema Dk Mwakyembe

DkMwakyembe alisema kuwa msingi kubwa wa amani katika nchi unachangiwa viongozi wadini kutimiza majukumu yao.
Alisema binadamu wote wanakiri mchango wa mungu katika kuleta amani.
" ili tuweze kufikia uchumiwakati suala uzalendo umarishaji wa nishati ya umeme niasuala muhimu" Aliongeza Dk Mwakyembe.
Shelk wa Dar es salaam Alhaji Mussa amesema kuwa vitabuvyadini vinahimiza kuipenda nchi nakuwa wa uzalendo.


Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine