Uchaguzi Kenya: Matokeo kutangazwa leo

Muhtasari

  1. Tume ya IEBC imesema itatangaza matokeo ya uchaguzi wa urais saa tisa unusu leo alasiri.
  2. IEBC inatarajiwa kutangaza hatima ya uchaguzi katika majimbo manne magharibi mwa nchi hiyo ambayo uchaguzi ulivurugika
  3. Mgombea wa upinzani Raila Odinga alisusia uchaguzi huo na amesema hayuko tayari kustaafu
  4. Idadi ya walioshiriki uchaguzi huo kwakwa mujibu wa matokeo ya maeneo bunge 251 kati ya 291 ni 7,447,014 sawa na asilimia 43.04.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine