Tdb yawaihidi mikopo kwa wananchi kujikwamua kiuchumi.

Timothy Marko.
Katika kuhakikisha ukanda wa afrika mashariki na kati inafikiwa na maendeleo ya kiuchumi Benki ya kibiashara ya Tdb imeihaidi kuendelea kutoa mikopo ilikuweza kufadhili m
mradi ya nyumba.
Akizungumza na waandishi waHABARI Mkurugenzi wa miradi  wa Benki hiyo marry kamali amesema miradi inayotolewa nipamoja miradi yaujenzi wanyumba sambamba miundombinu yamaji.
"Sambamba nakufadhili miradi ya majipia tdbp inaendela kufadhili miradiya usafirishaji biashara yakilimopamoja na viwanda kwa kutoa fedha kuweza kufadhilii miradi hiyo.
"AlisemaMary kamali
Kamali alisema kuwabenki ya tdb imekuwa ikijikita katika kuimarisha biashara maendeleo kiuchumi.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine