MKUCHIKA;NITASIMAMIANIDHAMU KWENYE Wizara yangu.

Timothy Marko
Waziri wa wizara ya  madini Angela kairuki  amewataka watumishi waliopo katika wizara yake kuzingatia maadili ya utumishi wa umma
Akizungumza katika mkutano wa makabidhiano kati yake aliyekuwa mwenyekiti wa maadili ya bunge George MKuchika amesema kuwa watumishi wa umma wanapaswa rkuwaadilifu nahatoweza Kuvumilia vitendo vya uvunjifu wa maadili
"Suala nidhamu wa umma ni muhimu kwani kunabaadhi ya watumishi sio waadilifu," Alisema Kairuki.

Kairuki alisema hadi kufikia sasa watumishi 16600ndio waliokidhi vigezo vya kupandishwa vyeo.

Katika hatua nyingine Waziri aliyekasimu madaraka ya wizara hiyo George MKuchika amesema kuwa Waziri kairuki ameshaweka misingi ya utawala bora ambapo vita kubwa atakayopambana nayo ni rushwa.
Alisema ili kuweza kupambana navitendo vya rushwa amepanga kutoa semina ya rushwa juu ya watumishi hao ili kuhakikisha vitendo hivyo vinakomeshwa.
"ifike wakati somo larushwa lifundishwe katika ngazi ya msingi hadichuo kikuu" alisema MKuchika
MKuchika alisema jambo kubwa atakalilisimamia maudhurio kazini nakuthibiti vitendo vya utoro kazini.


Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine