Jaji warioba awataka wasiasa kuiga viongozi WA dini.
Timothy Marko.
Jaji mstaafu nchini Tanzania Joseph warioba amewataka viongozi wa kisiasa kuigamfano wa viongozi wadini kuweza kujadili changamoto zao kwa mstakabali wa nchi.
Akizungumza katika komgamamo LA amano lililo andaliwa na taasisi ya Mwalimu nyerere warioba amesema kuwa nuhimu kwa viongozi hao kujenga utamaduni wakuvumiliana kama viongozi wa dini.
''Tungekuwa katika halimbaya kama viongozi hawa wasinge jenga utamaduni wa kutana Mara kwa Mara"alisema jaji warioba
Jaji warioba amesema kuwa nivyema viongozi wa kisiasa kuachana na mal

Comments
Post a Comment