SHELK Ponda ASHIKILiWA Na Polisiv
Timothy Marko
Siku chache baada ya kiongozi wa kundi la uamusho shelk issa ponds kutoa taarifa ya uchochezi kuhusiana na serikali ya awamu yatano,Jeshi lapolisi Kanda Maalum jijini Dar es salam limemtaka kiongozi huyo kujisalimisha
Akizungumza na waandishi wa HABARI Jijini Dar es salaam kamishina Lazaro mambo sasa amesema kuwa wanaendelea kumshikilia kiongozi huyo kwa kaulizake za kichochezi.
"Tunaendelea kumfuatilia shelkh ponda kwa makosa ya jinai kama vile uchochezi kwa hiyo kukimbia kwake hakutomsaidia,"Alisema kamishina Mambosasa.
Hivi karibuni kiongozi huyo aliitisha mkutano wanahabari baada kukerwa na baadhi ya mambo nchini ikiwemo suala demokrasia nchini

Comments
Post a Comment