Posts

Showing posts from February, 2018

Tanzania yafikia watu milioni 59.6

Image
Timothy Marko ILIKUWEZA kukabiliana na changamoto ya ongezeko la idadiyawatu nchini,serikali imejielekeza katika kutoa elimu kwa mtoto wakike nakuhakikisha anapata fursa yakusoma nakubakia shuleni kwangazi yamsingi hadi vyuoni . Akizungumza katika uzinduzi wa taarifa ya makisio ya idadi ya watu nchini jijini Dar es salaam Waziri wa fedha na Mipango Dk.philipMPANGO amesemakuwa hadi hivisasa Tanzania inakadiriwa kuwa naongezeko lawatu zaidi milioni 52 .6 ambapo idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka milioni 59.6 kwa mwaka 2021 sawa naongezeko watu milioni1.6 ''ongezeko hili linatokana naidadi yaukubwa wa vizazi vipatavyo milioni 2.0 ikilinganiashwa navifo ambavyo nitakribani400000 kwa mwaka ambapo utafiti unaonesha mwanamke wakitanzania anauwezo wakuzaaa watoto watano katika maisha yake yote ya uzazi ''Alisema Waziri wafedha Dk.Philip MPANGO. Waziri Mpango alisema kuwa baadhi yasababu zinazochangia ongezeko laidadi ya watu nipamoja kiwango chajuu cha vifo vitokanavyo na...

MILONI 800 ZATENGWA KUPAMBANA SARATANI YAKIZAZI .

Image
Waziri wa afya Ummy mwalimu Timothy Marko KATIKA kuhakikisha suala la ugonjwa kansa ya kizazi kwa wanawake nchini , una   tokomezwa Serikali ya Awamu ya tano imesema kuwa itaanza kutoa chanjo ya ugonjwa huo mwakani ambapo zaidi yashiligi milioni 800 zitatengwa ilikuweza kutokomeza ugonjwa huo ikiwemo utoaji wa chanjo . Akizungumza katika mkutano unaojadili juu yaudhibiti nautoaji elimu juu ya ugonjwa huo jijini Dar es salaam Waziri wa afya maendeleo yajamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu amesema kuwa hatua ya kuanzisha chanjo hiyo kwa wanawake nikutokana kuwepo kwa vifo vingi vitokanavyo na ugonjwa huo . ''Tanzania tunakabiliana namagonjwa yanayombikizwa zaidi mara tatu ambapo magonjwahatari zaidi nipamoja TB ,HIV AIDS na magonjwa ya ebola lakini changamoto kubwa ni uhaba wa rasmali fedha magonjwa hatarishi ikiwemo kansa yakizazi yamekuwa yakiibuka lakini bajeti yakukabiliana magojwa hayo imebaki ni ile ile ''Alisema Waziri wa afya Ummy Mwalimu Wazir...

KAMISHINA MUSILIMU AWATAKA KIKOSI CHA USALAMA BARA BARANI KUZINGATIA SHERIA .

Image
mkuu wa kikosi cha usalama barabarani  Kamishina Musilim  Timoth Marko MKUU wa Kikosi cha usalama barabarani nchini Tanzania Fotunatus Musilim amewataka jeshi la polisi  wakikosi cha usalama barabarani kuzingatia sheria pindi jeshi hilo linapowakamata madereva wa bodaboda nakuachana na tabia ya kuwapiga madereva hao pindi wanapo kiuka sheria nabadala yake wakamamatwe nakuweza kufikishwa mahakamani ilikuweza kujibu tuhuma zinazo wakabili . Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Kamishina Musilim amesema kuwa kwamujibu washeria za jeshi hilo limepewamamlaka ya kuwakamata wahalifu kwa mujibu wa sheria lakini jeshi hilo halirusiwikumpiga raia lakini linatakiwa kumuandikia notification ama maelezo yakumpeleka mahakamani nasio kupiga raia . ''Hakuna sheria katika nchi hii inayoruhusu kupiga mtu yoyote mtu anapotenda kosa anapelekwa mahakamani asante kwakunitarifu kwa jambo hili nitalifuatilia nijue ukweli kuhusiana na jambo hili kwa mujibu wa s...

USAJILI WA TIGO KILI HALF MARATHON 2018 WAANZA KUPITIA *149*20#

Image
Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu kuanza kwa usajili wa mbio za km 21 za Tigo Kili Half Marathon pamoja na mbio nyingine za KM 5 na KM 42 kwa watumiaji wote wa mtandao wa Tigo kupitia namba  *149*20#.  Mbio hizo zinatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Ushirika, mjini Moshi tarehe 4 Machi ya mwaka huu. Kulia ni Afisa wa Lipa kwa Tigo Pesa, David Chinguile.  Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu kuanza kwa usajili wa mbio za km 21 za Tigo Kili Half Marathon pamoja na mbio nyingine za KM 5 na KM 42 kwa watumiaji wote wa mtandao wa Tigo kupitia namba  *149*20#.  Mbio hizo zinatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Ushirika, mjini Moshi tarehe 4 Machi ya mwaka huu. Kulia ni Afisa wa Lipa kwa Tigo Pesa, David Chinguile.  Usajili upo wazi kwa watumiaji wote wa mtandao wa Tigo T...

SHIRIKA LA MAENDELEO LA UINGEREZA LATOA SHILINGI BILIONI 1.7 UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU SIMIYU

Image
A Kutoka kushoto (wanaoandika)  Tawala Mkoa wa Simiyu, Ndg.Jumanne Sagini na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima wakisaini hati ya makubaliano ya Ujenzi wa Bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Nkoma wilayani Itilima, fedha ambazo zimetolewa na Balozi wa China hapa nchini, Mhe.Wang Ke., zoezi ambalo lilishuhudiwa pia na Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan Jana Mjini Bariadi. Mwakilishi wa Shirika laUingereza la ( DFID) Bi. Elizabeth Arthy akiwasilisha taarifa ya namna Shirika hilo linavyofanya kazi na mkoa wa Simiyu mbele ya viongozi wa Kitaifa na Mkoa wa Simiyu, katika hafla iliyofanyika jana Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mjini Bariadi. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima(mwenye miwani) na Balozi wa China hapa nchini, Mhe.Wang Ke wakisaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa Bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Nkoma wilayani Itilima, fedha ambazo zimetolewa na Balozi huyo , zoezi a...

BAADA YA KUWATOA AL MERRIKH, TOWNSHIP ROLLERS SASA KUKIPIGA NA YANGA SIKU HII

Image
Na George Mganga Licha ya kupoteza mchezo wa jana kwa mabao 2-1 dhidi ya Al-Merrikh katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Township Rollers ilifanikiwa kusonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Rollers imefanikiwa kusonga mbele kutokana mechi ya awali kuibuka na ushindi wa mabao 3-0, hivyo kuwa na aggregate ya mabao 4-2. Timu hiyo kutoka Gaborone, Botswana, sasa itakutana na Young Africans ya Tanzania katika hatua inayofuata, mchezo ukichezwa nchini, 6 March 2018, siku ya Jummane, ambapo Yanga itakuwa mwenyeji. Yanga nayo ilifanikiwa kuwaondoa St. Louis FC ya Sychelles kwa jumla ya mabao 2-0 na kufanikiwa kupiga hatua ya kusonga mbele

Donald Trump: Walimu Marekani wanapaswa kupewa bunduki kuwalinda wanafunzi

Image
Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Email   Mshirikishe mwenzako Image caption Rais Donald Trump katika mkutano na wanafunzi walimu na familia katika ikulu ya Whitehouse Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba kuwapatia walimu silaha kunaweza kuzuia mashambulio ya risasi katika shule kama lile lililowaua watu 17 wiki iliopita mjini Florida. ''Mwalimu mwenye bunduki anaweza kukabiliana na washambuliaji mara moja'', alisema. Bwana Trump alitoa pendekezo hilo huku manusura wa shambulio hilo la tarehe 14 mwezi Februari wakimtaka kuhakikisha kwamba shambulio kama hilo halitokei tena. Rais huyo wa Republican pia aliunga mkono wito wa kuwakagua wanakotoka wanunuzi wa bunduki. Manusura wengine wakati huohuo waliwataka wa bunge wa Florida kuweka udhibiti wa bunduki. Shambulio la risasi laua 17 shuleni Marekani Shule mashakani kwa kuchora mnada wa watumwa Marekani K...

MEYA WA DAR AZITAKA NCHI ZA KIAFRIKA KUJISIMAMIA WENYEWE KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MIUNDOMBINU .

Image
Meya wa jiji la Dar es salaam Isaya Mwita  Timothy Marko. Meya wa jiji la Dar es salaam Isaya Mwita leo amekutana naujumbe wakutoka nchini malawi juu ya kujifunza mradi wa mabasi yaendayo kasi BRT na miradi mbalimbali yamiundo mbinu ili kuweza kudumisha ushirikiano katika sekta hiyo . Akizungumza na waandishi Meya Issaya mwita amesema kuwa ujio huo wa ujumbe wa kutoka malawi umelenga kukuza miji ya brantaya najiji la Dar es salaam katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo ambapo meya huyo alizitaka nchi za afrika kuweza kushirikiana katika miradi yakimaendeleo . ''Hatuna haja ya kujifunza nchi za ulaya wanafanya nini nilazima tujifunze hapa katika bara la afrika kama hivi leo tuepata ugeni kutoka nchini malawi watapata kuona namna yamchanganuo wa bajeti zetu za manispaa ''Alisema ISAYA Mwita . Mwita alisema badala yakufikiria miji mingine ya nje ya bara lafrika imefanikiwaje nilazima watalamu wanchi za kiafrika kushirikiana nakuweza kutatua changamoto za miun...

SERIKALI YA KUTANA NA WADAU WA MAWASILIANO KUJADILI CHANGAMOTO ZA KIMTANDAO NCHINI .

Image
Timothy Marko. KATIKA kukabiliana na changamoto za tehama nchini ,serikali kupitia wizara ya sayansi na teknolojia pamoja nawadau mbalimbali waseketa hiyo wamekutana mapema hii leo jijini Dar es salaam katika kongamano ili kuweza  kujadili masuala mbalimbali ya kimtandao. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada yakikao hicho jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi wa Wizara ya Mawasiliano na Tekinojia Samson Mwera amesema kuwa lengo lamkutano huo nikuweza kuzikutanisha na taaasisi za mawasiliano pamoja na serikali ilikuweza kutoa huduma kwa ufanisi ili kumundolea kero mwananchi pindi atumiapo huduma hizo za mawasiliano . ''Ukilinganisha changamoto za nchi za wenzetu nitofauti na nchi yetu ukiangalia sisi tumekuwa katika matumizi ya kimtandao kama vile huduma yakifedha kupitia simu za kiganjani tofauti nanchi ya uingereza huduma hiyo hawanayo kwahiyo sambamba na ukuwaji wa teknolojia tunakabiiwa na tatizo lakisheria za mitandao na elimu ''Alisema Kaimu Mkuru...

SERIKALI YATAKIWA KUWATENGE'NEZEA MAZINGIRA WEZESHI WATU WENYE ULEMAVU KATIKA SEKTA YA ELIMU.

Image
 Mkurugenzi wa Haki Elimu John Kalage Timothy Marko. Imeelezwa kuwa Moja ya changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini ni upungufu wa walimu wenye ujuzi wa kufundisha wanafunzi wenye uoni hafifu jambo ambalo linalopelekea watu wenye makundi maalumu kuweza kukosa elimu na ujuzi ilikuweza kuwa kwamua kimaendeleo ya kiuchumi nchini . Hayo yamebainishwa Leo  na Mkurugenzi wa Haki Elimu John Kalage wakati akizindua ripoti ya tathimini ya mafunzo na ushirikishwaji wa wanafunzi wenye changamoto za uoni hafifu jijiini Dar es salaam ambapo ripoti hiyoilisema kuwa kumekuwa natatizo la rasmali fedha za kujikidhi kwa wanafunzi walipo mabweni wenye mahitaji maalumu ikiwemo wanafunzi wenye uoni hafifu . ''Kushindwa kutembea katika maeneo yandani ya shule kutokakana namiundombinu ambayo sirafiki nimoja ya changamoto zinazowakabili watu wenye uoni hafifu sambamba nakutokuwa namiundombinu hafifu kwa watu hawa pia kumekuwa na changamoto ya ukosefu wa vifaa vya kufundishia nakujif...