SERIKALI YATAKIWA KUWATENGE'NEZEA MAZINGIRA WEZESHI WATU WENYE ULEMAVU KATIKA SEKTA YA ELIMU.
![]() |
Mkurugenzi wa Haki Elimu John Kalage |
Imeelezwa kuwa Moja ya changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini ni upungufu wa walimu wenye ujuzi wa kufundisha wanafunzi wenye uoni hafifu jambo ambalo linalopelekea watu wenye makundi maalumu kuweza kukosa elimu na ujuzi ilikuweza kuwa kwamua kimaendeleo ya kiuchumi nchini .
Hayo yamebainishwa Leo na Mkurugenzi wa Haki Elimu John Kalage wakati akizindua ripoti ya tathimini ya mafunzo na ushirikishwaji wa wanafunzi wenye changamoto za uoni hafifu jijiini Dar es salaam ambapo ripoti hiyoilisema kuwa kumekuwa natatizo la rasmali fedha za kujikidhi kwa wanafunzi walipo mabweni wenye mahitaji maalumu ikiwemo wanafunzi wenye uoni hafifu .
''Kushindwa kutembea katika maeneo yandani ya shule kutokakana namiundombinu ambayo sirafiki nimoja ya changamoto zinazowakabili watu wenye uoni hafifu sambamba nakutokuwa namiundombinu hafifu kwa watu hawa pia kumekuwa na changamoto ya ukosefu wa vifaa vya kufundishia nakujifunzia ikiwemo vitabu ''Alisema Mkurugenzi John Kalage .
Mkurugenzi Kalage amesema kuwa kumekuwepo natatizo launyanyapa kwawanafunzi wenye changamoto ya uoni kutoka kwa wanafunzi wenzao sambamba nahilo pia kumekuwa nachangamoto ya upungufu wa wafanyakazi katika maeneo yashule wenyekuweza kuwa saidia wanafunzi wenye uoni hafifu .
Alisema kumekuwa na baadhi ya wazazi wenye tabia nakasumba yakuwatenga wanafunzi waaina hiyo jambo ambalo linakwamisha maendeleo yao .
Comments
Post a Comment