MILONI 800 ZATENGWA KUPAMBANA SARATANI YAKIZAZI .
Waziri wa afya Ummy mwalimu |
Timothy Marko
KATIKA kuhakikisha suala la ugonjwa kansa ya kizazi kwa wanawake nchini , una tokomezwa Serikali ya Awamu ya tano imesema kuwa itaanza kutoa chanjo ya ugonjwa huo mwakani ambapo zaidi yashiligi milioni 800 zitatengwa ilikuweza kutokomeza ugonjwa huo ikiwemo utoaji wa chanjo .
Akizungumza katika mkutano unaojadili juu yaudhibiti nautoaji elimu juu ya ugonjwa huo jijini Dar es salaam Waziri wa afya maendeleo yajamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu amesema kuwa hatua ya kuanzisha chanjo hiyo kwa wanawake nikutokana kuwepo kwa vifo vingi vitokanavyo na ugonjwa huo .
''Tanzania tunakabiliana namagonjwa yanayombikizwa zaidi mara tatu ambapo magonjwahatari zaidi nipamoja TB ,HIV AIDS na magonjwa ya ebola lakini changamoto kubwa ni uhaba wa rasmali fedha magonjwa hatarishi ikiwemo kansa yakizazi yamekuwa yakiibuka lakini bajeti yakukabiliana magojwa hayo imebaki ni ile ile ''Alisema Waziri wa afya Ummy Mwalimu
Waziri wa afya Ummy mwalimu amesemakuwa takwimu zinaonesha kuwa kumekua nakiwango hafifu chawagojwa wanaoripoti hospitalini ambapo kati ya wagonjwa 50,000 ya wagonjwa wa kansa yakizazi ni13000 tu ndio wanaripoti hospitalini .
Alisema kuwa katika taskwimu za hosptali ya ocen road inayoshughulika na matibabu ya saratani asilimia 32 yawagonjwa wanaumwa saratani ambapo katiyao asilimia12 yawagonjwa wanaumwa saratani ya matiti ambapo alisisitiza kuwa katika kila wagojwa miamoja 96 wanaumwa saratani yamlango wakizazi .
Comments
Post a Comment