KAMISHINA MUSILIMU AWATAKA KIKOSI CHA USALAMA BARA BARANI KUZINGATIA SHERIA .
![]() |
mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Kamishina Musilim |
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Kamishina Musilim amesema kuwa kwamujibu washeria za jeshi hilo limepewamamlaka ya kuwakamata wahalifu kwa mujibu wa sheria lakini jeshi hilo halirusiwikumpiga raia lakini linatakiwa kumuandikia notification ama maelezo yakumpeleka mahakamani nasio kupiga raia .
''Hakuna sheria katika nchi hii inayoruhusu kupiga mtu yoyote mtu anapotenda kosa anapelekwa mahakamani asante kwakunitarifu kwa jambo hili nitalifuatilia nijue ukweli kuhusiana na jambo hili kwa mujibu wa sheria jeshi lapolisi limepewa mamlaka kuwakamata wahalifu lakini nikwamujibu washeria nasio vinginevyo ''Alisema Kamishina Musilim
Kamishina Musilimu alisema kuwa sheria imetoa msamaha kwa magari yaviongozi pindi yanapokuwa katika msafara sambamba namagari yote ya vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na magari yadharua pindi wanapotumia bara bara katika shughuli zao .
Alisema sambamba nakutoa msamaha kwa magari hayo pia zipo sheria ndogo ndogo zinazotumiwana manispaa katika kumkamta mtu yeyote anaye kiuka sheria za barabarani .
Comments
Post a Comment