Tanzania yafikia watu milioni 59.6

2Timothy Marko
ILIKUWEZA kukabiliana na changamoto ya ongezeko la idadiyawatu nchini,serikali imejielekeza katika kutoa elimu kwa mtoto wakike nakuhakikisha anapata fursa yakusoma nakubakia shuleni kwangazi yamsingi hadi vyuoni .

Akizungumza katika uzinduzi wa taarifa ya makisio ya idadi ya watu nchini jijini Dar es salaam Waziri wa fedha na Mipango Dk.philipMPANGO amesemakuwa hadi hivisasa Tanzania inakadiriwa kuwa naongezeko lawatu zaidi milioni 52 .6 ambapo idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka milioni 59.6 kwa mwaka 2021 sawa naongezeko watu milioni1.6

''ongezeko hili linatokana naidadi yaukubwa wa vizazi vipatavyo milioni 2.0 ikilinganiashwa navifo ambavyo nitakribani400000 kwa mwaka ambapo utafiti unaonesha mwanamke wakitanzania anauwezo wakuzaaa watoto watano katika maisha yake yote ya uzazi ''Alisema Waziri wafedha Dk.Philip MPANGO.

Waziri Mpango alisema kuwa baadhi yasababu zinazochangia ongezeko laidadi ya watu nipamoja kiwango chajuu cha vifo vitokanavyo na uzazi familia kupendekeza watoto wengi umasikini mila pamoja naimani za kidini .

Alisema kuwa matokeo yaidadi ya watu nchini yanaifanya Tanzania kushika nafasi yasita kwa idadi yawatu barani afrika wakati nchi nyinginezo zenye idadi yawatu nipamoja na Nigeria ,DRC pamoja MISRI.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine