Posts

Showing posts from March, 2018

Tanzania na Kenya zinajitenga na Afrika? Ufa waibuka Bonde la Ufa na kuongeza uwezekano Afrika kugawanyika

Image
Tanzania na Kenya zinajitenga na Afrika? Ufa waibuka Bonde la Ufa na kuongeza uwezekano Afrika kugawanyika Tanzania na Kenya zinajitenga na Afrika? Ufa waibuka Bonde la Ufa na kuongeza uwezekano Afrika kugawanyika 20 Machi 2018 Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger ...

TTCL Corporation kwa kushirikiana na tiGO Tanzania wazindua huduma ya kifedha (E-Money Joint)

Image
Mkuu wa Kitengo cha TTCL Pesa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Bw. Moses Alphonce (kulia) na Afisa Mkuu wa Kitengo cha Huduma ya Fedha Tigo Bw. Hussein Sayed wakipongezana kama ishara ya uzinduzi rasmi wa huduma za kifedha kwa jia ya mtandao katika ya TTCL Pesa na Tigo Pesa hafla hiyo imefanyika kwenye Ukumbi Golden Jubilee Tower (PSPF) jijini Dar es salaam leo. Mkuu wa Kitengo cha TTCL Pesa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Bw. Moses Alphonce (kulia) na Afisa Mkuu wa Kitengo cha Huduma ya Fedha Tigo Bw. Hussein Sayed wakipongezana kama ishara ya uzinduzi rasmi wa huduma za kifedha kwa jia ya mtandao katika ya TTCL Pesa na Tigo Pesa hafla hiyo imefanyika kwenye Ukumbi Golden Jubilee Tower (PSPF) jijini Dar es salaam leo, kulia ni Nasra Mugheiry Meneja Huduma na Maendeleo ya Bidhaa TTCL Pesa na kushoto ni Angelina Pesha Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti wa Ubora Tigo Pesa. Mkuu wa Kitengo cha TTCL Pesa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Bw. Mose...

ISRELI YAINGIA MAKUBALIANO YA KIUSALAMA NA TANZANIA .

Image
  T\ Timothy Marko KATIKA Kuhakikisha tatizo  ugaidi na uharamia vinakomweshwa katika maeneo yamipaka ya bahari Serikali ya Tanzania leo imeingia makubaliano na serikali ya Israeli ilikuweza kutoa mafunzo maalumu yatakayotolewa kwa jeshi la wananchi pamoja na vyombo vya usalama ilikuweza kukabilana navitendo hivyo.  Akizungumza na waandishi wa Habari katika makao makuu ya wizara yaulinzi jijini Dar es salaam Waziri wa ulinzi najeshi lakujengataifa Dk.Husseni Mwinyi amesema kuwa serikali ya israeli imekubaliana na Tanzania katika kuendesha mafunzo maalumu yakukabiliana na vitendo vya uharamia kwa kutumia vyombo vyakisasa kama vinavyotumiwa na nchi hiyo ya Israeli. ''Tayari isreli walishwahi kufanya mafunzo nasisi lakini tunataka kuongeza ujuzi ikiwemo kubadilishana taarifa za kintegelensia  hapo awali nchi yetu ilikuwa imelegalega kimahusiano yake na Isreli hii nikutokana na  vita baridi lakini sasa Tanzania ipo katika nchi zisizo fungamana upande wowote n...

YANGA YAAPA KUPINDUA MATOKEO BOTSWANA HAPO KESHO LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Image
Yanga inaendelea na maandalizi yake ikiwa ugenini kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers ya Botswana utakaochezwa siku ya Jumamosi machi 17, 2018. Mjumbe wa kamati ya utendaji na Katibu wa Kamati ya Mashindano Yanga Samuel Lukumay amesema kambi inaendelea vizuri kila kitu kipo sawa na wachezaji wote waliosafiri na timu wako salama kwa ajili ya mchezo wa Jumamosi. “Maandalizi yanaendelea vizuri hatukupata shida yoyote tangu tunakuja hadi tumefika, tulitembelewa na balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini ambaye ndio anasimamia pia Botswana akapata muda wa kuzungumza na vijana na kuwatia hamasa na kuwaambia katika mpira kilakitu kinawezekana kwa hiyo tunaweza kugeuza matokeo.” “Hakuna majeruhi yoyote kiujumla kambi inaendelea vizuri bila tatizo lolote” Mchezo wa awali uliozikutanisha yanga na Township Rollers kwenye uwanja wa Taifa, yanga ilipoteza kwa kufungwa 2-1 hivyo inahitaji kushinda kuanzia 2-0 ili kukata tiketi ya...

SERIKALI YAITAKA SOKO LA HISA KUFANYA MIKUTANO NA WADAU .

Image
Timothy Marko Serikali imelitaka soko la hisa la Dar es salaam (DSE)kuweka utaratibu wakufanya mkutano nawanahisa waliopo katika soko hilo ilkuweza kujadili shughuli mbalimbali zinzofanywa na makampuni yaliyojiorodhesha katika soko hilo ikuweza kupanga mpango endelevu ikiwemo utoaji waelimu kwa wananchi juu ya uwekezaji kupitia masoko ya hisa . Akizungumza katika uzinduzi wa uorodheshawaji wa hisa za kampuni ya TCCIA investment jijini Dar es salaam Naibu katibu Mkuu wa wizara ya Fedha na Mipango Amina Shabani ilikuweza kufanikiwa katika suala la uwekezaji kupitia soko lahisa elimu juu ya uwekezaji huo inahitajika ikiwemo kubuni mifumo sahihi itakayowezsha wananchi kupata taarifa sahihi . ''Natoa wito kwa madalali wa masoko yamitaji pamoja na wadau mbalimbali wasoko hili lahisa kuhusika zidi katika kuongeza juhudi zakutoa elimu juu ya masoko ya mitaji ,kama tunataka matokeo yenye tija kwa watanzania hatuna budi kushikamana ''Alisema Naibu katibu mkuu Amina shabani ...

AFISA TRA AKUTWA NA TAKUKURU AKIDAI RUSHWA.

Image
mkuu wa takukuru wilaya temeke pilly mwakasege Timothy Marko SIKU chache Baada ya Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli kuwatahadhalisha Maofisa wa Mamlaka ya kusanyajikodi nchini (TRA) Kutowalimbikizia kodi wananchi isivyo halali Taasisi ya kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU )wilayani Temeke jijini Dar es salaam inamshikilia Straton Mutayabrwa afisa wa TRA kata ya kigamboni baada ya kupokea Rushwa ya shilingi 300,000 kutoka kwa mwananchi ambaye jinalake limehifadhiwa ambaye ni mmiliki wa bucha kwa kosa lakutokuwa na mashine ya EFD. Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salam Mkuu wa Taasisi yakupambana narushwa wilaya ya Temeke Pilly Mwakasege amesema kuwa mtuhumiwa huyo alitendakosa hilo februari 28 mwaka huu akimuomba miliki wa bucha hilo 30000 kwa kutokuwa na mashine za kieletroniki za efd ambapo mtuhumiwa huyo yupo nje kwa dhamana . ''KATIKA hatua nyngine Afisa wa ustawi wa jamii wa mahakama ya mwanzo ya buguruni alifikishwa maha...

Rais Kenyatta na kiongozi wa upinzani Odinga, waahidi kuwaunganisha Wakenya

Image
Image caption Bw Kenyatta na Bw Odinga wameahidi kuwaunganisha Wakenya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekutana na kiongozi wa muungano wa upinzani nchini humo Raila Odinga katika afisi yake Jumba la Harambee, Nairobi. Wawili hao wamekubaliana kuundwe mpango wa pamoja wa kuangazia utekelezaji wa malengo ya pamoja ya viongozi hao wawili, ambao utazinduliwa rasmi karibuni Balozi Martin Kimani ataongoza kuundwa kwa mpango huo upande wa Rais Kenyatta naye mshauri wa Bw Odinga Paul Mwangi atawakilisha Bw Odinga, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotiwa saini na Bw Kenyatta na Bw Odinga baada ya mkutano huo. Mkutano huo umefanyika muda mfupi kabla ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson kuwasili nchini humo kwa ziara ya siku nne. Marekani imekuwa ikihimiza kufanyika kwa mazungumzo na mashauriano kutatua mzozo wa kisiasa uliokumba taifa hilo baada ya uchaguzi uliojaa utata mwaka jana. Bw Odinga alitangulia kuhutubia taifa moja kwa moja na baadaye Bw Kenyatta akatoa ho...

JESHI LA POLISI LAWAONYA WATAKAO ANDAMANA APRIL 26

Image
 Kamishina Mkuu wa operesheni na mafunzo wa jeshi lapolisi nchiniTanzania Nsato Marijani Timothy Marko SIKU chache baada ya mwanaharakati anayeishi nchini Marekani Aliyenaasili ya Kitanzania Mange Kimambi kuwa hamasisha vijana na baadhi ya watu wenyerika mbalimbali kufanya maandamano 26 April mwaka huu kupinga utawala wa Rais wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania Dk.Jonh Pombe Magufuli ,Jeshi lapolisi limewataka wananchi kupuuza ujumbe wamwanaharakati huyo nakusisitiza kuwa jeshilo lipo makini halituruhusu Maandamano hayo kufanyika nchini kwani yanakiuka sheria za nchi. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Kamishina Mkuu wa operesheni na mafunzo wa jeshi lapolisi nchiniTanzania Nsato Marijani amsesema kuwa kitendo chakuipinga serikali inayongozwa na Rais wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania Dk.JOHN POMBE Magufuli kitendo hicho kinafananishwa na uhaini ambapo adhabu yake ni kunyongwa . ''Vijana wengi wameanza kuingia katika mkumbo huu ninawaomba vijan...

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 08.03.2018

Image
Saa 6 zilizopita Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Email   Mshirikishe mwenzako Add caption Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Joachim Low Kocha wa Ujerumani Joachim Low, mwenye umri wa miaka 58, ndiye anayepigiwa upatu kumrithi Arsene Wenger kama meneja wa Arsenal iwapo raia huyo wa Ufaransa ataondoka katika klabuhiyo msimu wa joto. (ESPN) Kuna hisia miongoni mwa wachezaji wa Gunners ya kutopendelewa wanaolipwa mishahara mikubwa katika kalbu hiyo ya ligi ya England. (Times) Kipa wa Manchester United David de Gea bado anasubiri pendekezo la mkataba mpya licha ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 raia wa Uhispania kusalia na miezi 16 katika mkataba aliyonao sasa. (Yahoo) Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Ryan Sessegnon (kati kati) Mchezaji wa Fulham Ryan Sessegnon anapendelea kuhamia Tottenham, lakini mchezaji huyo wa timu ya ...

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Image
Tatizo la Miundo mbinu katika viwanja vya michezo limeendelea kuwa ni kero kwa wadau wa michezo hususani mchezo wa soka , baada ya jana usiku kulazimika kusitishwa kwa muda mechi ya kombe la shirikisho kati ya Timu ya Simba sc na El Masri ya Misri iliyochezwa katika uwanja mkuu wa taifa jijini Dar es salaam. Umeme ulikatika wakati mchezo ukiwa unaendelea kutokana na kunyesha mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali . Kwa mujibu wa sheria za soka waamuzi wa mchezo huo Hando Helpus akisaidiwa na Zakjele Thusi na Athenkosi Ndongeni wote kutoka Afrika, walilazimika kusitisha mchezo zikiwa zimesalia dakika 7 mchezo kumalizika ikiwa ni dk 83 kipindi cha pili kutokana na uwanja kujaa maji na kugubikwa na giza totoro. Simba, Azam dimbani leo Lwandamina-Tutawafunga Simba Hadi mchezo ulipositishwa matokeo ilikuwa mabao 2-2 na baadaye wasimamizi wakachezesha dakika zilizosalia kumaliza mechi hiyo wakai hali ilipotulia kiasi. Licha ya Baadhi ya viwanja vikubwa vya michezo kuidhinishw...