SERIKALI YAITAKA SOKO LA HISA KUFANYA MIKUTANO NA WADAU .
Serikali imelitaka soko la hisa la Dar es salaam (DSE)kuweka utaratibu wakufanya mkutano nawanahisa waliopo katika soko hilo ilkuweza kujadili shughuli mbalimbali zinzofanywa na makampuni yaliyojiorodhesha katika soko hilo ikuweza kupanga mpango endelevu ikiwemo utoaji waelimu kwa wananchi juu ya uwekezaji kupitia masoko ya hisa .
Akizungumza katika uzinduzi wa uorodheshawaji wa hisa za kampuni ya TCCIA investment jijini Dar es salaam Naibu katibu Mkuu wa wizara ya Fedha na Mipango Amina Shabani ilikuweza kufanikiwa katika suala la uwekezaji kupitia soko lahisa elimu juu ya uwekezaji huo inahitajika ikiwemo kubuni mifumo sahihi itakayowezsha wananchi kupata taarifa sahihi .
''Natoa wito kwa madalali wa masoko yamitaji pamoja na wadau mbalimbali wasoko hili lahisa kuhusika zidi katika kuongeza juhudi zakutoa elimu juu ya masoko ya mitaji ,kama tunataka matokeo yenye tija kwa watanzania hatuna budi kushikamana ''Alisema Naibu katibu mkuu Amina shabani
Amina Shabani Alisema kuwa ushindani sokoni katika masoko yahisa suala la hasara katika soko nisuala lisilo epukika nakuwataka kuhimili ushindani .
Comments
Post a Comment