JESHI LA POLISI LAWAONYA WATAKAO ANDAMANA APRIL 26
Kamishina Mkuu wa operesheni na mafunzo wa jeshi lapolisi nchiniTanzania Nsato Marijani |
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Kamishina Mkuu wa operesheni na mafunzo wa jeshi lapolisi nchiniTanzania Nsato Marijani amsesema kuwa kitendo chakuipinga serikali inayongozwa na Rais wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania Dk.JOHN POMBE Magufuli kitendo hicho kinafananishwa na uhaini ambapo adhabu yake ni kunyongwa .
''Vijana wengi wameanza kuingia katika mkumbo huu ninawaomba vijana waache mkumbo huu kwani nihatari lazima watanzania wafuate sheria za nchi nakuachana mikumbo kwani inaweza kuhatarisha amani namaisha yao kijumla ''Alisema Kamishina Nsato MARIJANI .
Comments
Post a Comment