SHIRIKA LA POSTA LAKUSANYA SHILINGI BILIONI 7.6 ZA MADENI
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Prof. Norman Sigala King (katikati), akiongoza kikao cha Kamati yake na Shirika la Posta Tanzania (TPC), kilichofanyika mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Moshi S. Kakoso. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, akifafanua jambo kwa Kamati ya Bunge ya Miundombinu katika kikao chao na Shirika la Posta Tanzania (TPC), kilichofanyika mjini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Prof. Norman Sigala King na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Sekta ya Mawasiliano Eng. Angelina Madete. Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Luteni Kanali mstaafu Haruni Kondo, akitoa taarifa ya Shirika hilo kwenye kikao chao na Kamati ya Bunge ya Miundombinu kilichofanyika mjini Dodoma. Kulia kwake ni mjumbe wa Kamati hiyo Mhe. Anna Lupembe. Mjumbe wa Kama...