DSTV LATANGAZA PUNGUZO LA BEI YA VINGA'MUZI
3 mins ago
BIASHARA


Mkurugenzi Mtendaji wa
Multichoice Tanzania Maharage Chande na Balozi wa Multchoice Nancy
Sumari wakikabidhi zawadi kwa washindi baada ya kushindwa katika bahati
nasibu wakati wakitangaza punguzo kubwa la bei kwa vifurushi vyote vya
DStv bei zitakazoanza kutumika rasi Septemba mosi 2017.

Balozi wa Multchoice Tanzania Nancy Sumari akizungumza mara baada ya kutagazwa kwa punguzo kubwa la vufurushi wa DSTV leo.


Punguzo linavyoonekana katika kipeperushi

Meneja Masoko wa Multchoice
Tanzania Bw. Alfa Mria akizungumza katika hafla hiyo ya kutangaza
punguzo kubwa katika vifurushi vyote vya DSTV.

Meneja Mawasiliano wa Multchoice
Tanzania Bw. Jonson Mshana akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha
Mkurugezi Bw. Maharage Chande kwa ajili ya kutangaza punguzo la
vifurushi hivyo.

Baadhi ya wafanyakazi wa Multchoice Tanzania wakiwa katika hafla hiyo


Afisa Masoko na Mawasiliano wa
Multchoice Tanzania Bi. Shumbana Walwa kushoto akiwa pamoja na
wafanyakazi wenzake katika hafla hiyo.


Mkurugenzi Mtendaji wa
Multichoice Tanzania Maharage Chande wa pili kutoka kulia akiwa na
Meneja Masoko Alfa Mria kulia kutoka kushoto ni Nancy Sumari Balozi wa
Multchoice Tanzania na William Malecela Le Mutuz.
………………………………………………………………………….
Yafyeka bei za vifurushi vyote! Wapenzi wa Kandanda ‘meno nje’
PANGA LA BEI LAFYEKA; DStv
Premium kwa 8.15%, DStv Compact Plus kwa 11.02%, DStv Compact kwa
16.11%, DStv Family kwa 9.09% and DStv Access (Bomba) kwa 4.88%
……………………………………………………………………..
Dar es Salaam Jumanne Agosti
29,2017; Katika kuhakikisha kuwa wateja wake wote na watanzania kwa
ujumla wanaendelea kufurahia huduma za DStv, kampuni ya Multichoice
Tanzania imetangaza neema kubwa kwa wateja wake kwa kufyeka bei za
vifurushi vyake vyote, huku pia ikiboresha maudhui na vipindi katika
vifurushi vyake hususan vile vya bei ya chini!
Habari hiyo njema imetangazwa leo
na Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania Maharage Chande,
alipokuwa akiongea na waandishi wa habari katika makao makuu ya kampuni
hiyo jijini Dar es Salaam ambapo amesema bei hizo mpya zitaanza kutumika
rasmi Septemba mosi 2017.
“Kumjali na kumsikiliza mteja ni
nguzo ya uendeshaji wa biashara yetu. Tumesikia maoni ya wateja wetu na
wananchi kwa ujumla kutusihi tuangalie uwezekano wa kupunguza bei,
tumechanganua kwa kina na tumeamua kutekeleza matakwa yao, leo hii
tumepitisha panga kwenye bei za vifurushi vyetu vyote!” alisema
Maharage.
Akifafanua kuhusu punguzo hilo,
Maharage amesema kumekuwa na punguzo la hadi asilimia 16, ambalo ni
punguzo kubwa sana na litakalowapa ahueni kubwa watumiaji wa DStv.
Amezitaja bei mpya kuwa ni;
Comments
Post a Comment