SERIKALI YAVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUACHA UCHOCHEZI
SERIKALI nchini Tanzania imevionya Baadhi ya vyombo vya Habari vinavyokiuka maadili ya uandishi wa
Habari kwa kuandika habari zinazochochea nakuleta mtafaruku kwa jamii
Onyo hilo limekuja baada ya Gazeti la Nipashe kuandika kichwa cha habari kisemacho'' NIMATESO ''toleo la leo sambamba nagazeti la MWANANCHI lenye kichwa cha habari Bomoa Bomoa nyingine yakufa mtu yaja Dar ''ambapo serikali imedaikuwa vyombo hivyo vimekuwa vikichochea na kuleta taharuki kwa jamiii.
Akizungumza nawaandishi wa Habari jijini Dar es salaam Mkurugezi mkuu wa idara ya Habari na Msemaji waserikali Hassan Abbas amesemakuwa vichwa vilivyotolewa namagazeti hayo vimekiuka misingi yahabari ambapo vinamtaka kutohukumu wa kati wakuandika habari yoyote .
''VICHWA HIVI VIMEKIUKA MISINGI Ya habari ikimewemo kuhukumu yani judgemental headline uandishi wahabari unaosimimia haki naukweli nimsingi kwajamii yetu''Alisema HASSAN ABASS
Comments
Post a Comment