SERIKALI YATOA UFAFANUZI JUU YA MAPATO KATIKA SEKTA YA MADINI .
WAZIRI WA MADINI ANGELA KAIRUK I Timothy Marko SERIKALI imesema katika kipindi cha mwaka wa fedha2015/16 zaidi ya shilingi bilioni 434.6 zimeweza kupatikana kutokana na tozo ya kodi katika sekta ya madini na gesi amabapo jumla ya kampuni 55zinazojishulisha nauchimbaji mafuta nagesi ziliweza kutozwa kodi kwenye sekta hiyo . Akizungumza katika mkutano wa uzinduzi wa ripoti ya nane ya taasisi ya uhamasishaji wa uwazi na uwajibikaji wa rasmali za madini mafuta na gesi asilia jijini Dar es salaam Waziri wa madini Angela Kairuki amesema kuwa sambamba namapato hayo katika ripoti hiyo ilionesha kuwa baadhi ya makampun yamekuwa yakilipa zaiodi ya shilingi bilioni465 .1 hali iliyochangia utofauti wa zaidi ya shilingi bilioni 30.5 ambayo nipungufu . ''Ninaeleza kuwa taarifa hii ipelekwe kwa mkaguzimkuu wa mahesabu ya serikali kama ilivyo anishwa katika kifungu cha 18 (1)katika ripoti hii imeonesha kuwa sekta ya madini imeonesha kuwaji wa asilimia 85 katika ukuwaji...