SERIKALI YATOA UFAFANUZI JUU YA MAPATO KATIKA SEKTA YA MADINI .

Image result for angela kairuki
WAZIRI WA MADINI ANGELA KAIRUKI

Timothy Marko 

SERIKALI imesema katika kipindi cha mwaka wa fedha2015/16 zaidi ya shilingi bilioni 434.6 zimeweza kupatikana kutokana na tozo ya kodi katika sekta ya madini na gesi amabapo jumla ya kampuni 55zinazojishulisha nauchimbaji mafuta nagesi ziliweza kutozwa kodi kwenye sekta hiyo .


Akizungumza katika mkutano wa uzinduzi wa ripoti ya nane ya taasisi ya uhamasishaji wa  uwazi na uwajibikaji wa rasmali za madini mafuta na gesi asilia jijini Dar es salaam Waziri wa madini Angela Kairuki amesema kuwa sambamba namapato hayo katika ripoti hiyo ilionesha kuwa baadhi ya makampun yamekuwa yakilipa zaiodi ya shilingi bilioni465 .1 hali iliyochangia utofauti wa zaidi ya shilingi bilioni 30.5 ambayo nipungufu .

''Ninaeleza kuwa taarifa hii  ipelekwe kwa mkaguzimkuu wa mahesabu ya serikali kama ilivyo anishwa katika kifungu cha 18 (1)katika ripoti hii imeonesha kuwa sekta ya madini imeonesha kuwaji wa asilimia 85 katika ukuwaji wa uchumi wakati sekta ya gesi asilia na mafuta ''Alisema WAZIRI wa Madini Angela kairuki 


Waziri KAIRUKI alisema kuwa kufuatia matokeo ya ripoti hiyo aliitaka taasisi yauhamasishaji yauwazi narasmali za madini kuongeza kunguvu juu yautoaji wa elimu katika vipindi vya redio na televisheni juu ya sekta hiyo.


Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine