Posts

Showing posts from December, 2017

Tewuta: chama cha wafanyakakzi champongeza Jonh magufuli

Timothy Marko Chama cha wafanyakazi was sekta ya Huduma za mtandao wa mawasiliano nchini(Tewuta) kimempongeza Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk jonh Magufuli kwa uamuzi wake wakutaka juuya ubinafusishaji wa airtel ambapo hapo awali kampuni hiyo ilikuwa ikimilikiwa TTCL. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa chama hicho Pius Makuke amesema kuwa kulikuwa na mchezo mchafu uliotokana watanazania wachache wenye uchu wa fedha kuingia mikataba na wa wekezaji wasio jali maslahi ya nchi. "Ikumbukwe mwaka2001 kampuni ya TTCl ikabinafusishwa na ujerumani muwekezaji huyo,an alkali pa* alisemana muwekezajuhuyo alupa sh5000, Serikaliimesha fanyaujuchunguzi juu ya mchakatowa uchuguzi.

SUMATRA YAWATADHARISHA WANANCHI SIKU ZA SIKUU.

Image
Katibu wa Mamlaka SUMATRA  Osca kikoyo Timothy Marko. MAMLAKA ya usafiri wa maji  na nchi kavu nchini (sumatra )imewataka wananchi wanaotarajia kusafiri msimu huu wa siku kuu kuhakikisha wanafanya maandalizi ya safari zao mapema ilkuweza kuandokana na kulanguliwa tiketi na baadhi ya makampuniya mabasi wasio waaminifu . Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Katibu wa Mamlaka hiyo Osca kikoyo amesema kuwa mamlaka inawatadharisha abiria kutonunua tiketi za safari zao kutoka kwa wapiga debe au vishoka katika eneo lavituo vya mabasi ubungo au eneo jingine . ''kumekuwepo na malalamiko kwa baadhi ya abiria kwa watoa huduma wakiwa nania ovu huwakatalia abiria wasifanye bookings zao mapema jambo linalosababisha mlundikano kwa abiria pasipo kuwa na sababu nakutoa mwanya kwa vishoka kuweza kuwa laghai abiria hao ''Alisema Katibu mtendaji Osca kikoyo . Kikoyo alisema kuwa endapo kutakuwa na matukio kukataliwa kwa abiria kufanyasafari zao abiria anapas...

MBARAWA AWATAKA WAKANDARASI KUKAKAMILISHA MIRADI YA BARABARA KWA WAKATI

Image
waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasilano Profesa makame mbarawa  akizungumza na wakandarasi hawapo pichani jijini daes salaam leo Timothy Marko. SERIKALI imewataka makandarasi waliopewa miradi mbalimbali ya barabara kukamilisha miradi hiyo kwa wakati  huku wakitakiwa kuzingatia ubora wamiradi hiyo kama ilivyopangwa . Wito huo umetolewa na waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Professa Makame mbarawa jijini Dar  amesema serikali imeingia makubaliano hayo ya zaidi bilioni 702.5 katika kutekeleza miradi mbalimbali ya barabara ambapo fedha hizo zitatumika katika ujenzi wa barabara usesula hadi komanga yenye urefu km108 . ''Awamu yapili itajumuisha komanga hadi kisinde yenye urefu wakm 108 ikihusisha km4.8za barabara unganishi ya mji wa inyonga na mkandarasi aliyepatikana ni kampuni  ya china Wu yi  ambapo shilingi 140,025,481,457.00ikiwa nakodi ya ongezeko la VAT 18% ujenzi huu unatarajiwa kukamilika baada yamiezi 36''ALISEMA  profesa M...

MFUMUKO WABEI KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI WAPUNGUA

Image
Mkurugenzi wasensa natakwimu za uchumi Ephraimu Kwesigabo   Timoth Marko. OFISI ya Takwimu nchini imesema kuwa hali ya mfumuko wa bei nchini wa asilimia 4.4 una mwelekeo unaofanana nanchi za afrika Mashariki ambapo ofisi hiyo imeulinganisha mfumuko wa kenya na uganda kuwa hauna tofauti kubwa na takwimu za mfumuko wa bei nchini Tanzania . Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wasensa natakwimu za uchumi Ephraimu Kwesigabo amesemakuwa  katika takwimu zilizopo katika ofisi hiyo zilionesha kuwa mfumuko wa bei nchini kenya kwakipindi cha November mwaka huu umepungua kutoka asilimia4.73 kutoka asilimia 5.72 wakati nchini uganda kwakipindi chamwezi october mwaka huu umepungua kawasilimia4.0 ikilinganishwa na mwezi november mwaka huu ambapo ulipungua kwa asilimia4.8 kwakipindi cha mwezi October . ''Baadhi ya bidhaa za vyakula zilizochangia kupungua kwa mfumuko wa bei nipamoja na nyama yangombe kwasilimia 5.4 ,samaki wabichi kwa asilimia 22...