MBARAWA AWATAKA WAKANDARASI KUKAKAMILISHA MIRADI YA BARABARA KWA WAKATI
![]() |
waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasilano Profesa makame mbarawa akizungumza na wakandarasi hawapo pichani jijini daes salaam leo |
Timothy
Marko.
SERIKALI
imewataka makandarasi waliopewa miradi mbalimbali ya barabara kukamilisha
miradi hiyo kwa wakati huku wakitakiwa
kuzingatia ubora wamiradi hiyo kama ilivyopangwa .
Wito huo
umetolewa na waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Professa Makame mbarawa
jijini Dar amesema serikali imeingia
makubaliano hayo ya zaidi bilioni 702.5 katika kutekeleza miradi mbalimbali ya
barabara ambapo fedha hizo zitatumika katika ujenzi wa barabara usesula hadi
komanga yenye urefu km108 .
''Awamu
yapili itajumuisha komanga hadi kisinde yenye urefu wakm 108 ikihusisha km4.8za
barabara unganishi ya mji wa inyonga na mkandarasi aliyepatikana ni
kampuni ya china Wu yi ambapo shilingi 140,025,481,457.00ikiwa
nakodi ya ongezeko la VAT 18% ujenzi huu unatarajiwa kukamilika baada yamiezi
36''ALISEMA profesa Makame mbarawa .
Profesa
Mbarawa amesema kuwaawamu ya tatu ya ujenzi huo utajumuisha kashinde hadi
mpanda ikihusisha km 2.29 za mji urwira ambapo mkandarasi aliyepatikana
nikampuni yakutoka china kwa gharama ya
shilingi 133,803,828,397.29 ikiwa sasambamba nakodi ya asilimia 18.
Alisema kuwa
awamu yanne yaujenzi huo utajumuisha ujenzi wa barabara yambinga hadi mbambabay ambapo ujenzi huo utagharimu
shilingi 129,361,352,517.84 sambamba navat ya asilimia 18.
Comments
Post a Comment