MFUMUKO WABEI KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI WAPUNGUA
Mkurugenzi wasensa natakwimu za uchumi Ephraimu Kwesigabo |
Timoth Marko.
OFISI ya Takwimu nchini imesema kuwa hali ya mfumuko wa bei nchini wa asilimia 4.4 una mwelekeo unaofanana nanchi za afrika Mashariki ambapo ofisi hiyo imeulinganisha mfumuko wa kenya na uganda kuwa hauna tofauti kubwa na takwimu za mfumuko wa bei nchini Tanzania .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wasensa natakwimu za uchumi Ephraimu Kwesigabo amesemakuwa katika takwimu zilizopo katika ofisi hiyo zilionesha kuwa mfumuko wa bei nchini kenya kwakipindi cha November mwaka huu umepungua kutoka asilimia4.73 kutoka asilimia 5.72 wakati nchini uganda kwakipindi chamwezi october mwaka huu umepungua kawasilimia4.0 ikilinganishwa na mwezi november mwaka huu ambapo ulipungua kwa asilimia4.8 kwakipindi cha mwezi October .
''Baadhi ya bidhaa za vyakula zilizochangia kupungua kwa mfumuko wa bei nipamoja na nyama yangombe kwasilimia 5.4 ,samaki wabichi kwa asilimia 22.2 mboga mboga kwa asilimia 3.9 huku viazimviringo kwa asilimia 14.0 wakati mihogo mibichi mfumuko wabei umepungua kwa asilimia 24.8 ''Alisema Mkurugezi kwesigabo
Comments
Post a Comment