Posts

Showing posts from July, 2017

UZINDUZI WA BARAZA LA WAZALISHAJI WAFANYIKA ZANZIBAR.

Image
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Wafanyabishara wa Zanzibar katika Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja. Katibu wa Baraza la Wazalishaji Zanzibar Madam Cheherezade Chukh akitoa hotuba ya makaribisho katika uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja. Mwenyekiti wa Baraza la Wazalishaji Zanzibar Ahmed Yussuf Baalawy akizungumza machache katika uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja. Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara  Wenyeviwanda,Kilimo na Utalii (ZNCCIA)Taufiq Tourky akitoa hotuba na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika  Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja .

SERIKALI KUBORESHA HUDUMA YA MAJI JIJINI DAR ES SALAAM.

Image
MAKAMU WA RAIS WA JAMUHURI YAMUUNGANO WA TANZANIA SAMIA HASSAN Timothy Marko . SERIKALI imesema itaendelea kuboresha sekta ya maji katika miji mikuu kutoka asilimia 86 hadi kufikia asilimia 95 ambapo imebainisha kuwa hadi kufikia 2020 hali upatikanaji wa huduma hiyo inatarajiwa kuongezeka kutoka asilimia 72 hadi kufikia asilimia 95. Kauli hiyo imetolewa naMakamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania Samia Suluhu  jijini Dar es salaam wakati akizindua mpango mkakati wa water aid uliondaliwa nawizara yamaji na umwagiliaji ambapo amesema kuwa Hatua yakuongeza hudumahiyo yamaji itahusisha wadau mbalimbali wasekta hiyo pamoja na serikali . ''Sambamba nahilo serikali itaendelea kusisitiza suala lausafi wa mazingira ilikuweza kuhakikisha tunalinda afya zetu ilitusishambuliwe na magonjwa yamlipuko kama vile kipindupindu na homa yamatumbo ''Alisema Makamu wa Rais Samia suluhu . Makamu wa Rais Suluhu alisema kuwa mpango huo ambao unalenga kuweka maji safi na...

JESHI LAPOLISI LATAKIWA KUWA MAKINI NA TEKINOLOJIA KUDHIBITI UHALIFU.

Image
JESHI LAPOLISI TANZANIA  Timothy Marko. JESHI la polisi nchini  limetakiwa kuboresha mbinu zao za kudunisha ulinzi na usalama waraia kwakutumia teknolojia ilikuweza kuendana nakasi ya mabadiliko yakiteknolojia ili kuweza kudhibi vitendo vyakihalifu vinavyoweza kutokea nchini . Wito huo umetolewa Naibu Kamishina wa jeshi hilo Husseni Nassoro wakati wautoajitunzo kwa wahitimu wamafunzo ya kipolisi kimataifa (interpol)jijini Dar es salaam ambapo amesema kuwa ilikuweza kuakabiliana navitendo vyakihalifu kimataifa jeshi hilo halinabudi kutumia vifaa vya kisasa ilikuhakikisha vitendo vya kihalifu vinatokomezwa . ''Tunahitaji vifaa vya kisasa ilikuweza kupambambana na masuala yakiusalama kwani tunaona matukio kihalifu ya kikua kila siku kwahihyo nanawaomba msiweke vyeti vyenu kwenye ukuta ila tunacho hitaji nivitendo zaidi ilituweze kupata matokeo chanya zaidi ''Alisema Kamishina Husseni Nassoro . Kamishina Nassoro amesema kuwa Mafunzo hayo yalioyoandaliwa nas...

TIMU ZA YANGA NA SIMBA ZAJITOLEA KUCHEZA MECHI ZA HISANI KUCHANGIA MFUKO WA UDHAMINI WA UKIMWI

Image
Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Tume ya Taifa ya kudhibiti UKIMWI Tanzania TACAIDS, Elizabeth Kaganda (katikati) akimkabidhi Jezi Meneja wa timu ya Mbeya City, Geofrey Katepa, wakati wa zaoezi la kukabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya kushiriki Mechi za Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI. Makabidhiano hayo yamefanyika leo asubuhi ndani ya Ofisi za Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ambapo mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Yanga na Mbeya City utakaochezwa leo jioni, na mchezo wa pili utakuwa ni Simba na Tanzania Prisons utakaochezwa kesho na fainali itachezwa siku ya Jumamosi kwa kuzikutanisha timu washindi wa mchezo wa leo na wa kesho. Kushoto ni Mratibu wa Mechini hizo, Emmanuel Petro na Teddy Mapunda (kulia) ni Katibu wa TFF Mkoa wa Mbeya.Tz Prisons:- Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Tume ya Taifa ya kudhibiti UKIMWI Tanzania TACAIDS, Elizabeth Kaganda (katikati) akimkabidhi Jezi Meneja timu ya Tanzania Prisons, Havinitishi Abdallah (wa pili kulia) wakati w...

MHE.NDUGAI AKIWA NA SPIKA WA UGANDA, AFRIKA YA KUSINI NA CAMEROON

Image
Mhe. Spika Job  Ndugai akiwa katika mazungumzo na Maspika wa Nchi za Uganda (kwanza kushoto) Mhe. Rebeka Kadaga ,Afrika Kusini (pili kushoto)Mhe. Thandi Modise na Naibu Spika wa Cameroon kulia) Mhe. Monjowa Lifaka .Spika Ndugai yuko nchini Nigeria kuhudhuria mkutano wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika.