JESHI LAPOLISI LATAKIWA KUWA MAKINI NA TEKINOLOJIA KUDHIBITI UHALIFU.



Image result for JESHI LAPOLISITANZANIAImage result for JESHI LAPOLISITANZANIA
JESHI LAPOLISI TANZANIA 
Timothy Marko.
JESHI la polisi nchini  limetakiwa kuboresha mbinu zao za kudunisha ulinzi na usalama waraia kwakutumia teknolojia ilikuweza kuendana nakasi ya mabadiliko yakiteknolojia ili kuweza kudhibi vitendo vyakihalifu vinavyoweza kutokea nchini .

Wito huo umetolewa Naibu Kamishina wa jeshi hilo Husseni Nassoro wakati wautoajitunzo kwa wahitimu wamafunzo ya kipolisi kimataifa (interpol)jijini Dar es salaam ambapo amesema kuwa ilikuweza kuakabiliana navitendo vyakihalifu kimataifa jeshi hilo halinabudi kutumia vifaa vya kisasa ilikuhakikisha vitendo vya kihalifu vinatokomezwa .

''Tunahitaji vifaa vya kisasa ilikuweza kupambambana na masuala yakiusalama kwani tunaona matukio kihalifu ya kikua kila siku kwahihyo nanawaomba msiweke vyeti vyenu kwenye ukuta ila tunacho hitaji nivitendo zaidi ilituweze kupata matokeo chanya zaidi ''Alisema Kamishina Husseni Nassoro .

Kamishina Nassoro amesema kuwa Mafunzo hayo yalioyoandaliwa naserikali ya Marekani kwakushirikiana na Tanzania yamejumuisha nchi tisa ambazo niTanzania Kenya  Zambia Ethyopia Namibia Msumbiji ,Afrika kusini pamoja na Malawi yanalenga kudumisha amanisio kwanchi hizo tu bali kwadunia nzima kwakudhibiti vitendo vyakihalifu vinavyoweza kutokea .

Alisema kuwa Majaribio ya matishio yakiusalama hayapo nchini Tanzania tu bali yapo dunia nzima kuwepo kwamkutano huo kutawezesha kupambana namatishioyakihalifu yanayoweza kutokea duniani .

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine