VIJANA KUPIGWA MSASA DIRA YA MAENDELEO 2050
Timothy Marko
KATIKA Kukahakisha Vijana na Makundi Maalum wanakuwa na Uelewa wa Dira ya Maendeleo ya taifa 2050, Shirika la Umoja wa Mataifa linalojihusisha na Idadi ya Watu (UNFPA) limeaanzisha program Maalum ya kuwaelimisha kundi Hilo ,Juu ya Dira hiyo ya Masuala mbalimbali yanayo wakabili Vijana ikiwemo Ukosefu wa Ajira Nchini.
"Ilikuhakikisha kundi hili Linapata Uelewa Juu ya malengo ya Dira ya taifa 2050 ikiwemo kukuza Uelewa Sekta ya Tehama likuwahakikishia Vijana wanajikwamua kiuchumi kupitia Sekta ya Tehama" Amesema Naibu KATIBU Mtendaji wa Tume ya Mipango kitaifaDk Mursali Milanzi.
Dk. Milanzi Ameongeza kuwa Katika kuhakikisha Wananchi wanakuza Uelewa wa Dira ya taifa 2050,Dira hii Utekelezaji wake utatekelezwa kwa Awamu.
Alisisitiza Katika kuhakikisha Dira hiyo inatekezeka Tume hiyo imejiwekea Mipango ya muda mrefu na muda mfupi ilikuweza kuhakikisha Dira hiyo inatekezeka.
"Mpango wa Utekelezaji wa Dira hii utakuwa tayari November Mwaka huu,nautekelezwaji wake utaanza mapema mwakani 2026 Hadi 2027" Amebainisha Dk Milanzi.
Naye Naibu Muwakilishi Mkaazi wa Shirika linalojihusisha na Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa (UNFPA) Melissa Makubality amesema Tangu Dira hiyo iasisiwe july7Mwaka huu lengo la Dira hiyo nikuweza kuwaweka Vijana kwenye Ramani ya Maendeleo ya kiuchumi Sambamba na Elimu.
"Ikiwa nalengo la kukuza Uelewa nakuweza kufanya uchambuzi wa Dira hii ya Maendeleo ya 2050"Alibainisha Melissa Makubality.
Melissa Alieza kuwa Tume hiyo inaenda kufanya Vipaumbele vitakavyo tekelezwa bila muhali.
Comments
Post a Comment