TUNZO ZA UTALII KUFANYJ
TUNZO ZA UTALII KUFANYIKA JOHARI ROTANA JUNI 28.
Timothy Marko
BODI ya Utalii imesema inatarajia kuwa mwenyeji wa Tunzo za Afrika Mashariki za Utalii katika Hoteli ya Johari Rotana yajiijini Dar es Salaam June 28 Mwaka huu.
Akizungumza naWaandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Mkurugezi wa Bodi ya Utalii Nchini Ephraim Mafuru amesema Tunzo hizo zitahusisha Nchi za Asia na Afrika, Ambapo Mazao ya Utalii yataoneshwa.
"Tunzo hizi zinahusisha Sekta Binafsi38 nasekta 12 kutoka Sekta ya Umma."Alisema Mkurugezi wa Bodi ya Utalii Ephraim Mafuru.
Mafuru Aliongeza kuwa Tunzo hizo zinatarajiwa kuhudhuriwa na Washiriki 500 wandani nanje .
Aidha, Mkurugezi wa Hoteli ya Johari Rotana yajiijini Dar es Salaam Ahmed Said amesema kuwa Tunzo hizo ni heshima kubwa kwa Tanzania katika kutangaza vivutio vya Utalii vilivyopo Nchini ikiwemo Hoteli ya Johari Rotana.
Alisema Sekta ya Utalii nikikichocheo kizuri cha Uchumi WETU, kupitia Sekta hiyo Nchi yetu inajitangaza kupitia Utalii wa Mikutano.
"Hii ninafasi Nzuri ya kutambulisha Hoteli ya Johari Rotana yajiijini Dar es Salaam kupitia Utalii wa Mikutano"Alisema Mkurugezi wa johariRotana Ahmed Said.
Kwaupande wake Afisa Masoko wa Shufaa Pan Africa Hospital Victoria Tarimo amesema kupitia Utalii wa Tiba hospital hiyo imelenga kutoa Huduma za x-ray pamoja na utra sounds
Alisema Hospital hiyo inatoahuduma ya MRI Sambamba na kupima mwilimzima.
Comments
Post a Comment