SERIKALI YAWATAKAWANANCHI KUDUMISHA USAFI WA MAZINGIRA .
![]() |
MAKAMU WA RAIS SAMIA HASSAN SULUHU . |
SERIKALI imewataka wanachi kudumisha hali yausafinakufanya usafi katika maeneo yao nakutunza vyanzo vya maji ilikuondokana uharibifu wa mazingira nchini .
Wito huo umetolewa na Makamu wa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassani Suluhu wakati akifunga kilele cha maazimisho yawiki ya mazingira iliyofanyika katika viwanja vya mnazi moja jijini Dar es salaam ambapo amesema niwajibu wajamii kutunza vyanzo vya maji ili kuhifadhi viumbe ambao hadi hivi sasa wapo hatarini kutokana na uharibifu wa mazingira .
''inakadiriwa zaidi ya viumbe35000 wapo hatarini kutoweka duniani ,matunda yaasili nayopia yapo hatarini kutoweka kutokana nauharibifu wa mazingira ''Alisema Makamu wa Rais Samia Suluhu
Makamu wa Rais Samia alisema kuwa jamii inapaswa kuachana natabia yakukatamiti ilikuondokana natatizo laukosekanaji wamatunda ya asili ambayo mengi ni dawa nakutaka jamii kuitunza miti hiyo .
Alisema zao lakahawa limeshuka katika soko ladunia kwa asilimia 20 huko nchini costarica jambo linalotokana nashughuli za kibinadamu zinzohatarisha mazingira .
''Hatuna budi kutunza mazingira ilikuweza kufikia uchumi wakati ,wabunge wafike mahali wawe mstari wambele katika kutunza mazingira badala yakuwatetea wananchi wanao haribu mazingira na vyanzo vya maji ''Aliongeza MAKAMU wa RAIS.
Comments
Post a Comment