SERIKALI KUWEKA MKAKATI WA KUPAMBANA NA VIWAVI JESHI KATIKA MAZAO.

Image result for dr charles tizeba

waziri wakilimo Dk charles chizeba 

Timothy Marko.
SERIKALI imesema tatizo la kushambuliwa kwa mazao nawadudu waviwavi jeshi katika baadhi yamazao yachakula nabiashara halipo Tanzania pekeyake bali tatizo hilo tayari limeshawahi kutokea katika nchi za afrika magharibi jitihada za kusambaza dawa kukabiliana natatizo hilo zina endelea .

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam waziri wakilimo Dk charles chizeba amesemakuwa kumekuwa na changamoto yakutatua sualahilo kwa baadhi ya wauzaji wa pembejeo za kilimo kuzalisha wadudu hao kitalamu nakusababisha tatizo hilo iliwaweze kunufaika kibiashara .

''Suala la viwavi jeshi halijaanziaTanzania pekeyake bali lilianzia huko amerika mdudu huyu amevuka mbaka afrika magharibi ndio akaja nchini TANZANIA ,hata nchi ya kenya tatizo hili lipo lakini kusiana dawa yakukabiliana natatizo hili zipo na zinapatikana ''Alisema Waziri wa Kilimo Dk Charles chizeba .

Dk Chizeba alisema kuwa kuhusiana kusitishwa kwa uuzwaji wa korosho ghafi kwenda nje serikali imesititisha mpango huo nakutaka viwanda vya ndani kuweza kuchakata zao hilo kabla ya kupelekwa nje ya nchi .
\
Alisema katika kipindi cha mwaka wa fedha serikali imetenga shilingi trioni tatu katika mpango wa ASDP kuboresha sekta zaumma nabinafsi kuweza kuleta tija katika sekta yakilimo nakuweza kukuza uchumi utokanao nasekta hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine