TWIGA BANCOP KUWA CHINI YA UANGALIZI WA BENKI KUU.

Image result for benki kuu ya tanzaniaTimothy Marko
SERIKALI imeiweka benki ya kibishara ya Twiga Bancop chini ya uangalizi wa benki ya posta ambayo inamilikiwa na benki kuu nakutaka benki hiyo kuungana na benki ya posta nakuwa benki moja kuanzia kesho .

Hatua ya serikali kuweka benki ya twiga bancop chini yauangalizi wa benki kuu imetokana na benki hiyo kuwa na upungufu mkubwa wa mtaji kinyume ya matakwa ya sheria ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka2006  hali iliyotokana na benki hiyo kuwa usalama mdogo wa sekta ya kifedha katika benki hiyo .

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Naibu Gavana wa benki kuu Benard Gese amesema kuwa katika kuhakikisha sekta yakibenki inaimarika serikali imeamua kuimarisha usimamizi wake dhidi ya benki hiyo kwa kuunganisha na benki yaposta ambayo pia inamilikiwa na serikali .

''Kwamujibu wakifungu cha 30 (1)a cha sheria yamabenki ya mabenki natasisi zake ya mwaka2006 benki kuu ya tanzania imeidhinisha benki yatwiga na tpb kuwa benkimoja kuanzia leo ''Alisema NAIBU Gavana GESE .

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine